Mawakili wa Serikali kuweni makini sana kwenye kesi ya Mbowe na wenzake

Kumbe hawa akina Jumanne ndiyo walimbamkia meno ya Tembo yule mzee mstaafu, kumbe na wengine wameshasimamishwa kazi, na wengine akina Sabaya wameshafungwa.
Kwa hiyo hawa mashahidi wana mazoea ya kubambikia watu ushahidi.
Wakati wa Mahita baba wa Mahita wa sasa, huyu mtoto alikuwa wapi? kama alishakuwa polisi tayari si inawezekana alihusika katika suala la wale wa madini!
 
Mbona tayari Taifa lishadhalilika !
 
Jaji itabidi atumie nguvu nyingi kuunga mkono hoja za mawakili wake
 
yote yanawezekana. Laana za baba zao ni hadi kizazi cha nne
 
Hata Membe leo kasema watanzania wanafuraha baada ya jiwe kudanja
 
Ndio kawaida ya ukweli. Mawakili wa serikali wao wameshakula Advance hawajali matokeo ya kesi
 
Wenzako wako makini ku justify hukumu ambayo tayari iko magogoni inangojea kusomwa tu,hapo ni kama unampigia mbuzi gitaa. Hao wameahidiwa mamilioni ya fedha na vyeo hivyo interest ya nchi siyo kipaumbele chao.
Baada ya hapo akina kidando na akina Esther wanakula uteuzi wa ujaji
 
Una umri gani mkuu?
 
Mimi nipo nje ya nchi. Naomba nisiitaje hiyo nchi, lakini kuna magwiji fulani ya mambo ya intelijensia wa nchi hii wamepewa kazi maalum ya kufuatilia kila kinachoendelea kwenye hiyo kesi. Nimewashuhudia kama mara nne hivi kila session ya kesi inapoisha wanafunga ukurasa wa taarifa zao huku wakitikisa kichwa. Kinachorekodiwa hapa ni nchi yetu na vyombo vyetu vya dola. Naipenda nchi yangu sana. Ningekuwa na mamlaka ningeamuru kesi hii ifie ilipofikia maana inaanika uozo mkubwa wa nchi yetu hasa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama na uongozi wa nchi kwa ujumla. Rais Mama Samia alianza vizuri, lakini anakoelekea sielewi kwanini haoni hatari mbele!
 
Ugaidi huwa ni kifungo cha maisha ama kunyongwa..sasa wanataka Mh. Mbowe atiwe haiani kwanushahidi huu wa uto...

Kingai na timu yake pia walikosea sana kuandika scripts kiasi kwamba inawapa wakati mgumu sana mawakili wa Serikali kwenye re- examination.

So far timu ya utetezi ipo safi na inafanya kazi nzuri, yaani kama leo hukumu inaandikwa hamna kesi humo...mbowe na wenzake ni huru.
 
Hakuna atakayekwamini kwa kauli yako hii.
 
Nani msafi kuliko Mbowe?Wewe ni msafi kiasi gani.Mama umepotea njia
 
Mashahidi wanakaangwa mithili ya dagaa kwabeseni la mafuta!! khikhikhiiikhiiikhiiiiiii.... Chya watu wanamaroho!! Unamvika mwenzio ugaidi... kweli??
 
Meko alikuwa zaidi ya shetani..
Mungu ni mwema sana, akalifyekelea mbali ..muuwaji mkubwa yule..
Wapi umewahi kuona mtu anakufa Nchi inalipuka kwa shangwe..?!
Kama inakuuma kajining'inize kwenye mti umfuate huko jehanam.
Mtamtukana JPM bure jililieni ninyi na watoto wenu kwa uasi wenu.Lazima mkono wa sheria
 
Ukaburu ni itikadi,si rangi ya mtu.. Hata mandela alifungwa kwa ugaidi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…