Mawakili wa Tanzania mlikosea sana kumuweka Mwanasiasa kuongoza chama chenu Cha Wanasheria

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
4,712
Reaction score
11,991
TLS haikuchagua Rais mwanasheria kwa maslahi ya wanasheria na kada ya Sheria, Bali walimchagua Mwanasiasa kwenda kupigania maslahi ya siasa kupitia TLS

Leo hii tunapoongea mawakili wengi nchini wana shida kibao. Wapo mawakili wengi tu haswa wanaoanza wanaohitaji kusaidiwa zaidi kusimama kikazi na hata kitaaluma-mkakati, hutamsikia Mwabukusi akiongelea hili.

Lipo tatizo la mawakili kuingiliwa kazi zao na watendaji wa Serikali na vishoka, hutamsikia Mwabukusi akiongelea hili.

Liko tatizo la mawakili kuwa mistreated na vyombo vyingine vya Serikali na hata ndani ya Mahakama ambazo wao ni maafisa. Na jambo hili lipo kwa kuwa hakuna kanuni za wazi za kuheshimu kada hii. Hili nalo hutamsikia Mwabukusi akiongelea.

Kuna wananchi majority amabao wanaohitaji msaada wa kisheria ambao TLS ingeweza pia kuwasaidia, kama ilivyo katika Samia Legal aid, maana TLS Ina rasilimali fedha na hata watu, Lakini kamwe huwezi kusikia Mwabukusi akiongelea hili,

Yeye Mwabukusi kazi yake ni imekuwa ni Afisa habari wa CHADEMA na mhamasishaji. Anaonekana hata kwenye picha na matangazo ya kuomba michango ya tone tone za CHADEMA n.k.

Chini ya Mwabukusi TLS imekuwa chombo Cha CHADEMA Cha kupigana na Serikali.

Kwa hili mawakili mliomchagua huyu Mtu with due respect, mliojiongoza vibaya sana.

Ni sahihi kukosoa ila si vizuri kwa taasisi kama hii ya TLS kuchagua mrengo Fulani na ushabiki wa kisiasa katika shughuli zake.

Objectives za TLS kwa wasiojua ni hizi: -

1) To maintain and improve the standards of conduct and learning of the legal profession in Tanzania;

2) To facilitate the acquisition of legal knowledge by members of the legal profession and others;

3) To assist the Government and the Courts in all matters affecting legislation and administration and practice of the law in Tanzania;

4) To represent, protect and assist members of the legal profession in Tanzania as regards to conditions of practice and otherwise;
To protect and assist the public in Tanzania in all matters touching, ancillary or incidental to the law.
 
Ngoja aone!
 
Labda ungependa mwana CCM?
 
mwabukusi ni muongo sana aisee halafu ana mkwara halafu ni muoga alitoa wiki m oja anaenda mbeya ili akaongee lugha ngumu juu ya mdude katishwa na meseji moja tu kakaaa kimya hata mbeya hataki kurudi tena aisee jamaa ni muoga kuliko katibu mkuu wa chadema anayeogopa hata panya
 
TLS haikuchagua Rais mwanasheria kwa maslahi ya wanasheria na kada ya Sheria, Bali walimchagua Mwanasiasa kwenda kupigania maslahi ya siasa kupitia TLS

Leo hii tunapoongea mawakili wengi nchini wana shida kibao. Wapo mawakili wengi tu haswa wanaoanza wanaohitaji kusaidiwa zaidi kusimama kikazi na hata kitaaluma-mkakati, hutamsikia Mwabukusi akiongelea hili.

Lipo tatizo la mawakili kuingiliwa kazi zao na watendaji wa Serikali na vishoka, hutamsikia Mwabukusi akiongelea hili.

Liko tatizo la mawakili kuwa mistreated na vyombo vyingine vya Serikali na hata ndani ya Mahakama ambazo wao ni maafisa. Na jambo hili lipo kwa kuwa hakuna kanuni za wazi za kuheshimu kada hii. Hili nalo hutamsikia Mwabukusi akiongelea.

Kuna wananchi majority amabao wanaohitaji msaada wa kisheria ambao TLS ingeweza pia kuwasaidia, kama ilivyo katika Samia Legal aid, maana TLS Ina rasilimali fedha na hata watu, Lakini kamwe huwezi kusikia Mwabukusi akiongelea hili,

Yeye Mwabukusi kazi yake ni imekuwa ni Afisa habari wa CHADEMA na mhamasishaji. Anaonekana hata kwenye picha na matangazo ya kuomba michango ya tone tone za CHADEMA n.k.

Chini ya Mwabukusi TLS imekuwa chombo Cha CHADEMA Cha kupigana na Serikali.

Kwa hili mawakili mliomchagua huyu Mtu with due respect, mliojiongoza vibaya sana.

Ni sahihi kukosoa ila si vizuri kwa taasisi kama hii ya TLS kuchagua mrengo Fulani na ushabiki wa kisiasa katika shughuli zake.

Objectives za TLS kwa wasiojua ni hizi: -

1) To maintain and improve the standards of conduct and learning of the legal profession in Tanzania;

2) To facilitate the acquisition of legal knowledge by members of the legal profession and others;

3) To assist the Government and the Courts in all matters affecting legislation and administration and practice of the law in Tanzania;

4) To represent, protect and assist members of the legal profession in Tanzania as regards to conditions of practice and otherwise;
To protect and assist the public in Tanzania in all matters touching, ancillary or incidental to the law.
Angekuwa ni mwanasiasa halafu ni mwanaccm usingesema ila Kwa sababu ni mwana nccr mageuzi ndio unaleta nyokonyoko zako Huku.

Kwanza siasa ndio maisha HAIKWEPEKI KAMWE...

Pili Watumishi wote ni wanaccm ila hilo hamsemi mbwa nyie....
 
Back
Top Bottom