Mawakili zaidi ya 390 wa Tanzania Bara Hatarini Kupoteza Uwakili wao

Sawa, basic rights act ipo na tunaijua, lakini mbona wanaitumia kwa ubaguzi? Mbona hawajaenda kupinga sheria zingine kandamizi zinazoumiza wananchi wa kawaida, wameona waende kupinga hii tu inayohusu maslahi na wivu wao wa kikazi?
- Sheria nyingi mbona zimehojiwa mfano ile ya Rebecca gyumi ya mtoto wa kike kuolewa akiwa under 18?
-sheria ya uchaguzi iliyosema ili upinge Ubunge unatakiwa kuweka 5m? Unakumbuka?
-pia hata penal code kifungu cha kunyonga kimehojiwa mahakamani? Unakumbuka
 
Mbona unanijibu swali ambalo sijakuuliza
-Hilo ndio jibu, labda wewe huelewi,
-Kabla ya kutungwa kwa law school of Tanzania act kulikuwa na utaratibu mwingine wa kufanya bar exam, then 2007 ikatungwa Sheria ya law school of Tanzania act ikawa ni mandatory kwa yoyote anayetaka kuwa wakili asome hapo.
- wakafanya marekebisho ya Sheria wakawasamehe baadhi ya watumishi wa Umma kusoma law school.
 
Ni kweli mimi ndio sielewi
 
Fitna na roho mbaya it's a step towards becoming a witch.
 
Umenikumbusha mkuu hiyo ya Rebecca Gyumi, hivi kwanini hadi leo hawataki kubadili hicho kipengele cha umri wa ndoa kwa binti ili iwe 18??. Wanaogopa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…