Mawakili zaidi ya 390 wa Tanzania Bara Hatarini Kupoteza Uwakili wao

Issue kubwa ni usawa ............hamna anaewaonea wivu...........watu wanachotaka kama ni msamaha na watu wanaofanya private nao wapate coz nao wana experience.

Cha msingi vigezo vinavyotumika vijulikane kwa general public, hamna anaependa kuteseka kama short cut ipo tupite wotee.

Na kama tunaona hamna haja ya law school basi ifutwe kwa wote sio kundi moja ili kuwa wakili wanalazimishwa na Sheria hadi kusoma law school halafu Kuna karani anapewa kwa msamaha.

And in fact hii kesi hata plaintiff wasiposhinda Kuna namna flani itakuwa imewasanua decision makers
 
Mimi nilikuwa naelewa wakili ni Mwanasheria wa Kujitegemea kwa lugha rahisi ni uongo au kweli?
Na je huo utaratibu wa kwenda Law school uko Universal au ni Tanzania tu?
Lengo la kukuuliza haya maswali ni ili ufikirie nje ya box bila kujali walimu wako wa Law School walikulisha maneno gani
Ungeelewa uwakili ni nini na unapatikanaje, au wala ungesoma uzi kwanza ingesaidia. Maana swali lako linaonyesha wazi kiwa hujaelewa mada​
 
Issue kubwa ni usawa ............hamna anaewaonea wivu...........watu wanachotaka kama ni msamaha na watu wanaofanya private nao wapate coz nao wana experience.

Cha msingi vigezo vinavyotumika vijulikane kwa general public, hamna anaependa kuteseka kama short cut ipo tupite wotee.

Na kama tunaona hamna haja ya law school basi ifutwe kwa wote sio kundi moja ili kuwa wakili wanalazimishwa na Sheria hadi kusoma law school halafu Kuna karani anapewa kwa msamaha.

And in fact hii kesi hata plaintiff wasiposhinda Kuna namna flani itakuwa imewasanua decision makers
Umenena vyemašŸ¤
 
Sio lazima umshtaki wewe, mtu mwingine anaweza kwenda.
Halafu mfano wako hauendani ukisema Daktari feki ni yule ambaye hajawahi kusomea mambo ya udaktari.
Hao mnaowashitaki nyinyi sio feki maana walisomea elimu ya uanasheria hawawezi kuitwa feki
 
Mfano ni kama CO apewe cheo cha MD, sio feki lakini elimu haikidhi yeye kuitwa MD. Au MD apewe cheo cha Mmed wakati hajaenda darasani kuitafuta hiyo Mmed. Anakuwa daktari lakini mweye cheo kisichostahili. Ndio hayo ya mtu anaitwa wakili wakati hajaenda darasani kuutafuta huo uwakili, yeye ni mwanasheria wa kawaida tu.
 
Mwanasheria wa kawaida kazi zake huwa ni zipi?
 
Alichokosea mleta mada ni kipi? Je watu wapewe Uanasheria bila vigezo rasmi just kwa msamaha??🤣
Naelewa maumivu yenu wazee wangu mimi by professional nina degree ya utalii nikiangaliaga mapimbi wenye tuvyeti tudogo wanavyopiga hela kwenye tasnia nataman na sisi wapigwe pin lesen zitolewe kwa wenye degree tu hapo ndio kipengere cha roho mbaya kinapoanzia

Hoja yako ni tofauti kidogo na kile kinachoendelea kwenye tasnia ya sheria na utoaji haki
 
Naelewa maumivu yenu wazee wangu mimi by professional nina degree ya utalii nikiangaliaga mapimbi wenye tuvyeti tudogo wanavyopiga hela kwenye tasnia nataman na sisi wapigwe pin lesen zitolewe kwa wenye degree tu hapo ndio kipengere cha roho mbaya kinapoanzia
Mkuu, kila mtu apewe leseni inayoendana na kiwango chake cha elimu, hiyo sio roho mbaya, ni utaratibu wa kulinda ubora wa huduma inayotolewa. Mfano hospitali kuna madaktari na wote wana leseni na wote wanaruhusiwa kutibu ila wako kwenye madaraja kulingana na kiwango chao cha elimu.
 
Naelewa maumivu yenu wazee wangu mimi by professional nina degree ya utalii nikiangaliaga mapimbi wenye tuvyeti tudogo wanavyopiga hela kwenye tasnia nataman na sisi wapigwe pin lesen zitolewe kwa wenye degree tu hapo ndio kipengere cha roho mbaya kinapoanzia
Hilo la roho mbaya umeliweka tu kwny maandishi na wala halipo. Kuongelea uhalisia sio roho mbaya, ni jambo zuri sana, waajiriwe watu wenye sifa na vigezo.

Inaelekea hata walipotumbuliwa wenye vyeti feki wewe uliumia sana🤣
 
Mimi nilikuwa naelewa wakili ni Mwanasheria wa Kujitegemea kwa lugha rahisi ni uongo au kweli?
Na je huo utaratibu wa kwenda Law school uko Universal au ni Tanzania tu?
Lengo la kukuuliza haya maswali ni ili ufikirie nje ya box bila kujali walimu wako wa Law School walikulisha maneno gani
Law school ipo Dunia nzima nenda Kenya, Uganda, Zambia etc
 
Back
Top Bottom