Mawakili zaidi ya 390 wa Tanzania Bara Hatarini Kupoteza Uwakili wao

Mawakili zaidi ya 390 wa Tanzania Bara Hatarini Kupoteza Uwakili wao

Naelewa maumivu yenu wazee wangu mimi by professional nina degree ya utalii nikiangaliaga mapimbi wenye tuvyeti tudogo wanavyopiga hela kwenye tasnia nataman na sisi wapigwe pin lesen zitolewe kwa wenye degree tu hapo ndio kipengere cha roho mbaya kinapoanzia
Mfano wako upo tofauti. Ili uwe wakili Sheria inataka ufaulu law school sio kuwa na degree pekee. Kwa maana nyingine kupata leseni ya uwakili lazima uende law school. Sasa Kuna wengine wanapewa leseni bila kuwa na elimu ya law school.
 
Kabla ya marekebisho zamani Sheria ilikuwa inamtafsiri mwanasheria kama mtu aliyefaulu law school wanasiasa wakaingilia wakabadisha maana
Haya ndio majibu nilikuwa nayataka yule mwenzako alikuwa hata haelewi mantiki ya maswali yangu anatoa majibu ya paniki tu halafu mwenyewe anajiona wakili msomi eti.
Kama viswali vidogo hivi vinamshinda kuelewa ataweza kusimama mahakamani na mawakili wa kimataifa kutetea rasilimali za nchi zisiuzwe
 
Sio Suala la kunufaika Bali kulinda hadhi ya uwakili. Unampa mtu uwakili kisa ni mtendaji kata mwenye LLB unategemea Nini?
“Sio suala la kunufaika, bali kulinda hadhi ya uwakili”

Nadhani hicho ndicho kila mtu anatakiwa aelewe, hili sio suala la maslahi binafsi bali ni suala la maslah ya umma
 
Haya ndio majibu nilikuwa nayataka yule mwenzako alikuwa hata haelewi mantiki ya maswali yangu anatoa majibu ya paniki tu halafu mwenyewe anajiona wakili msomi eti.
Kama viswali vidogo hivi vinamshinda kuelewa ataweza kusimama mahakamani na mawakili wa kimataifa kutetea rasilimali za nchi zisiuzwe
Umeridhika na majibu??
 
Umejibu vizuri.
Asante
Umeridhika na majibu??
Sasa mbona jana ulishindwa kunijibu?nilihitaji majibu ya aina hii ili niunganishe dots kuona kama ina mashiko au lah wewe ukasema sipaswi kuchangia mada eti kwa vile sijasomea sheria.
Ni kweli sijasomea sheria mimi nimesomea Sciences natumia Logic kureason kwenye mada yoyote na kupata ukweli wa jambo
 
Labda hukunielewa, sikusema hupaswi kuchangia mada sababu hujasoma sheria, you get me wrong.

Nilisema kama hata hufahamu kitu kidogo na chepesi kama hicho basi usingestahili kuchangia mada, hasa kwa namna ulivyokuwa unachangia, na huo ndio ukweli.

Lakini kama umeridhika na majibu uliyopewa, basi kheri na karibu sasa uchangie mada vizuri ukiwa umesha connect dots
 
Waliofungua hiyo kesi wana hoja..

Mfano Mimi Kuna mtu hapa kazini kapewa uhakimu kwasababu tu ana degree ya sheria japo alikuwa kama karani, Sasa najiuliza Kwa namna ninavyo fahamu uwezo wake je akiwa hakimu huko mahakamani itakuwaje?
 
Wengi wao hata degree zao ni za hapa na pale............mostly unakuta degree tu ya Sheria kafanya miaka 06+ Open University Kuna mda Hadi anajisahau kama anasoma
 
Wengi wao hata degree zao ni za hapa na pale............mostly unakuta degree tu ya Sheria kafanya miaka 06+ Open University Kuna mda Hadi anajisahau kama anasoma
Aisee huu utaratibu wautizame upya maana hizo nafasi wanazowapa ni nafasi nyeti sana na hazitaki mzaha.
 
ushindani kivipi wakati wao wanaenda kuwa mahakimu? Sisi tunalinda taaluma na hatuna wasiwasi na chochote.​
Kazeni hivyo hivyo, mbona hatujasikia CPA wanapewa watu kisa wana uzoefu. Taaluma ilindwe. Kuandaa machawa wa kuwapa order tu baadae. Watu kama hao hata wakiwa mahakimu kuna uwezekano mkubwa watahukumu kutokana na MAELEKEZO TOKA JUU
 
Back
Top Bottom