Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Hakuna wasiwasi kama unapo kua you do not have qualifications & your begging for excuses.Mngekuwa hamna wasiwasi msingeenda Mahakamani. Hiyo panic ya kukimbilia Mahakama kuu inaonyesha wazi kuna kitu kinawanyima usemi nyie.
Wapite njia ile ile ya law school iliyo zoeleka kwanini wapewe exemption... Why?
Taaluma ziheshimiwe