Mawakili zaidi ya 390 wa Tanzania Bara Hatarini Kupoteza Uwakili wao

Bado hata wewe nitakuuliza swali hilo hilo, kwani shule ipo darasani tu?
Haipo darasani tu. Hizo exception ni very discriminatory. Kama issue ni uzoefu law school ifutwe watu wafanye wote watumie hizo njia nyingine.

Sio kuweka exception kwa ajili ya vilaza fulani
 
Haipo darasani tu. Hizo exception ni very discriminatory. Kama issue ni uzoefu law school ifutwe watu wafanye wote watumie hizo njia nyingine.

Sio kuweka exception kwa ajili ya vilaza fulani
Mbona kwenye siasa na bunge husemi sheria zifutwe?
 
namba 90 ni JAJI.

380 NI HAKIMU.
 
Majina zaidi ya 350 na jina langu halipo. Sometimes hua nashindwa kuelewa kwanini jina langu, ingawa commoni, ila hulikuti kwa watu maarufu, wahalifu wala wapi yaani ni jina lipo lipo tu
 
mleta mada hieleweki mawakili unaozungumzi WALE WA TLS AU Hawa wa serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…