Mawasiliano ndio kigezo kikubwa kinachoonyesha kama kuna mapenzi au ndio yamejifia

Sio kweli uwezi kumpima mpenzi wako kwa kuwasiliana na simu mara kwa mara apana na ninaevidence ya ili.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu jamaniiii!!!
 
Kwenye urafiki na hata mapenzi hakuna ubize kwa best friend ama mtu unayempenda

Ukiambiwa yupo bize jua kwamba kuna mtu wake yupo tayari kuvuruga ratiba waonane.

Nipo bize = huna uzito kwangu na hata kampani yako ni ya kuivumilia ama maslahi tu.
Nimeipenda hii
 
Nimeipenda hii
 
Mwambie shemeji nina zawadi yake anajua kukuspoil

Na hayo ndo malavi davi yaan hadi rahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…