antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Aisee..Sio kweli uwezi kumpima mpenzi wako kwa kuwasiliana na simu mara kwa mara apana na ninaevidence ya ili.
Anaweza kuku-ektia na calls + sms tele kumbe fix tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee..Sio kweli uwezi kumpima mpenzi wako kwa kuwasiliana na simu mara kwa mara apana na ninaevidence ya ili.
Hii point huwa mnaiendekeza sana ila kiuhalisia haisimami sawia kwa 100% katika kila muktadha.Kwenye urafiki na hata mapenzi hakuna ubize kwa best friend ama mtu unayempenda
Ukiambiwa yupo bize jua kwamba kuna mtu wake yupo tayari kuvuruga ratiba waonane.
Nipo bize = huna uzito kwangu na hata kampani yako ni ya kuivumilia ama maslahi tu.
Haha..Chief hapa hatumaanishi kila mda mnawasiliana hapana,lakini average kwa siku walau mara mbili basi,,,sasa kama hamchekiani kabisa basi ujue hilo penzi lipo ICU linapumulia gas
Usifananishe kijana, Mama Samia ni Rais wetu kipenzi. Mimi nipo JF kabla ya mama Samia kujulikana.Ila Samia una vituko..mafaili huwa unasoma saa ngapi hivi?
Nawashangaa nyinyi msiolijuwa hilo, bado mnahangaika mapenzi mapenzi. Tazama jitu lina ndomo lakini linapaparikiwa na kila mwanamke, unafikiri kwa uzuri upi alionao? Pesa tu.Leo umesema ukweli. Hata Abdul na mama yake wanalijua hili.
Hapo wewe ni wazi unapenda ila unakuwa bize ila unatafuta muda kuchat jioni au usiku. Hiyo ni sawa.Mimi kuna siku naweza kaa from saa 2 asubuhi hadi night bila maongezi marefu nae, it's either single txt au nimtafute jioni au usiku, lakini deep down nampenda sana.
INATEGEMEANA.
Sasa nampaje na mimi kidume mbona unakuwa na mawazo mgando lakini? [emoji848]kampe wewe, unangoja nini?
Mimi siyo mama huruma.
Ushashikwa na nyege mshindo? Njoo huku, fata link hiyo chini, upambane na wenye nyege wenzio:Sasa nampaje na mimi kidume mbona unakuwa na mawazo mgando lakini? [emoji848]
Halafu na mimi mwenyewe nimesha tamani, hebu nije Dm tuyajenge tupange miadi tukutane watu wazima sisi hatuwezi kushindwana, tutenge siku mbili za mchuano tukunjane hadi maji mwilini yakauke au unasemaje ? [emoji848]
Mrembo,Ushashikwa na nyege mshindo? Njoo huku, fata link hiyo chini, upambane na wenye nyege wenzio:
Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo. Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.www.jamiiforums.com
Hii point huwa mnaiendekeza sana ila kiuhalisia haisimami sawia kwa 100% katika kila muktadha.
Yeah, inatokea mtu anakuwa busy kiasi cha kuona kushika simu na kuchat ama kuongea anapoteza muda, ila haimaanisha hampendi mpenzi wake.
Mimi kuna siku naweza kaa from saa 2 asubuhi hadi night bila maongezi marefu nae, it's either single txt au nimtafute jioni au usiku, lakini deep down nampenda sana.
INATEGEMEANA.
Bila shaka ww ni mwanamke uliyeandika ivi ,iwonder why girls, like talking always,girls tunatafuta hela.Kuna siku nimekutana na post moja ambapo mwamba anasema anamtext mrembo halafu hujibu baada ya masaa mawili au matatu. Mwamba akawa anauliza, "Hivi imekaaje?"
Wakati unatafakari juu ya jambo hilo la mwamba, nami nimejikuta natafakari yangu. Kuna mrembo mmoja alikuwa anaitwa Zawadi. Hatukuwahi kuduu lakini tulikuwa very close, yaani kilichobaki ilikuwa ni kuunganisha viungo vyetu vya uzazi tu. Ila katika hili, mimi nilizingua, nilikuwa naleta mambo mengi kama ya kwenye movie, hahaha.
Inaelekea mrembo hakutaka mambo mengi. Mawasiliano yakaanza kupungua taratibu, na mwisho wa siku nilimuona Kariakoo ana mimba. Nikapata majibu kwanini alikuwa sio active katika mawasiliano.
Turudi kwenye mada. Iko hivi: hakuna ubize kwa mtu unayempenda. Hata uko bize kiasi gani, lazima utatafuta muda wa kuwasiliana naye. Ukiona mtu anakwambia yupo bize, basi fahamu yupo bize na mtu wake mwingine, period.
Kwahiyo, wakati mwingine jiongeze mwenyewe. Chap basi acha ujinga. Hata kama yupo bize, akipata muda atakucheki na kukufahamisha kuna moja mbili tatu, na hata kukuomba radhi anaweza ili mradi tu akuweke sawa. Lakini kama mtu hajibu simu kila mara na hata akipokea haonyeshi kujali wala kutoa sababu, ujue una mboa, jiongeze mapema. Hajibu meseji kwa wakati na mara nyingi haonyeshi kujali, jiongeze chap.
Mawasiliano ndio msingi mkubwa wa mapenzi. Anayekupenda atatafuta muda kwa ajili yako, iwe mvua iwe jua. Atahakikisha mnakuwa karibu siku zote.
Kwahiyo usipoteze muda wako kwa mtu ambaye hana muda na wewe. Tambua thamani yako. Kama yeye anasema "wa nini", wenzake wanasema "watakupata lini?"
Ni hayo tu!
Pia soma:Je, mapenzi yanaweza kuishi bila mawasiliano ya kimwili?
Great thread. Ni mwanaume mpumbavu tu anayetaka kutembea na mke wa mtu.kampe wewe, unangoja nini?
Mimi siyo mama huruma.
Kama una mpenzi/mke/mume/ partner lazima uyape mapenzi kipaumbele, angalau mapenzi yachukue nafasi ya 3 kwenye vipaumbele vyako.Tatizo watu wameyapa sana nafasi mapenzi kuliko kitu kingine chochote.
Kuwa na adabu na mama 😂😂😂😂Sasa nampaje na mimi kidume mbona unakuwa na mawazo mgando lakini? [emoji848]
Halafu na mimi mwenyewe nimesha tamani, hebu nije Dm tuyajenge tupange miadi tukutane watu wazima sisi hatuwezi kushindwana, tutenge siku mbili za mchuano tukunjane hadi maji mwilini yakauke au unasemaje ? [emoji848]
Mkuu....Inategemea na kazi anayofanya ingawa ukweli tusipowafeel tunaweza kuchukua hata wiki nzima kujibu msg 😛
Umenigusa jirani, ngoja nichukue hii...😊Kama una mpenzi/mke/mume/ partner lazima uyape mapenzi kipaumbele, angalau mapenzi yachukue nafasi ya 3 kwenye vipaumbele vyako.
Kama mko mbali walau msgs 3 kwa siku. Simu moja au 2.
Kitafiti, binadamu wa sasa hawezi Kukaa masaa 8 bila kushika simu, sasa katika kushika kwake simu hajaona haja ya kumtania mwenza wake, au kumsalimia au kumuagiza (kutegemea na stage ya mahusiano yenu) something must be fishy!
Tena siku hizi kuna reels na memes, siku nzima haujapata cha kumtumia mpenzi, ahhh subutu sio kweli (kwa sauti ya tabu mtindiga)
Love is byuriful thing. 😍
Mpende mama wa 5 jirani.Umenigusa jirani, ngoja nichukue hii...😊
Kuna watu wako bize 24/7 siungi mkono hoja nashikilia shilingi watu wenye pesa huo muda wa kuongea mda wote anautoa wapi mapenzi yanataka nini manara sio tajiri ila visenti anavyo ila licha ya kuwapeleka wake zake world cup ila alimwagwa tena mpaka akazimia dokta mwaka anayejiita bingwa naye hakupona elezea mambo yote ila ukifika kwenye mapenzi hapo weka nukta tega sikio usikilize hayana mtaalam wala mjanja ruge na ujanja wake wote alilia kwa zamaradi anyway sijui nilikuwa nataka kuzungumzia nini.Kuna siku nimekutana na post moja ambapo mwamba anasema anamtext mrembo halafu hujibu baada ya masaa mawili au matatu. Mwamba akawa anauliza, "Hivi imekaaje?"