Mawasiliano ndio kigezo kikubwa kinachoonyesha kama kuna mapenzi au ndio yamejifia

Nimeipenda hii
 
Unaweza ukatafutwa ukawa hupendwi vilevile watu wako kimkakati zaid siku hizi usiamini sana simu za Mara kwa Mara wala msg mkajaa katika mifumo ya watu.watu wako kazini wanafanya kaz akijulia Hali mara moja inatosha. Ndio maana kila siku mnalia lia kwa kuingia kwa pupa katika mitego.Alafu mwanaume unaliaje kutokutafuwa Na mwanamke ??? Mwanaume ndio mtafute mwanamke mwanamke ndio Ana bembelezwa Na kudekezwa ili apate KUTII NA KUHESHIMU
 
Hisia zinashuka au kupotea kwasababu ya kuishi kwa mazoea,,mkiwa na tabia ya kuonyeshana upendo basi tambua hisia zitakuwepo siku zote
Ndugu, usichanganye hisia na upendo, mara nyingi hisia huondoka na kupotea kabisa hata uonyeshe upendo kiasi gani.

Hisia zikiondoka na kufa kinachobaki ni upendo pekee ambao ndiyo utaamua huo uhusiano uendelee ama usiendelee.Hisia mara nyingi huwa ni jambo la kuja na kuondoka.
Ngoja nikuelimishe kwanini waislamu au wanaume wameruhusiwa kuwa na wake wengi tena na Allah ingawa wewe humuamini
Kwanza ni kutuliza kiu ya mwanaume ,wote tunajua sisi wanaume kutulia na mke mmoja ni mtihani sana labda uwe una ucha mungu na hofu ya Allah
Swali: Mtume wako hakuwa na hofu ya Mungu?? Alikuwa na kiu sana?? Si unafahamu alipitiliza idadi ya wanne??
Pili wanawake baadhi yao wanachangamoto sana katika swala zima la kujahamiana,,mwingine akiwa na mimba tu basi ujue unyumba utautafuta kwa tochi,
Hoja dhaifu sana, yaani Mungu yeye kipaumbele chake ni ngono na mapenzi, mwanaume yeye hana changamoto??
Tatu kuna watu wamejaaliwa nguvu ya matamanio yaani hao ni bakora kwa kwenda mbele haina kulala yaani kila siku lazima apige bakora,
Hao walijaaliwa ni wanaume tu?? Vipi wanawake hawana matamanio makubwa?? Hawapo kwenye jamii zetu??
Na nne huenda mke mmoja asiwe na kizazi basi sio ndio umuache laa! Ongeza mke mwingine na mambo yaendelee huku kizazi kinaendelea.
Vipi kama mwanaume hana kizazi?? Vipi kama wote wanne hawana vizazi?? vipi kama mume na mke hawana vizazi??

Nb: Kwa kutumia akili yako ya kuzaliwa na siyo kushikiwa, Mungu anaweza kuruhusu mwanaume aoe idadi fulani ya wanawake?? Unafahamu mila na tamaduni za kiarabu wakati huo?? Unaweza kutenganisha dini na utamaduni??
 
Kupitia comment yako,,nahisi ubishani mbeleni usio na tija kwangu na utanipotezea mda wangu

Asante
 
Kuna husiano ninalo ila sijui linahusiana na nini maana asilimia kubwa kama sio mara nyingi mimi ndie huwa ninaanza kumtafuta.

Ingawa ndio tuko mwanzoni kabisa mwa husiano just to get to know each other๐Ÿ˜Œila hii ni red light๐Ÿฎ nimeshaiona nisikaze fuvu.

Naona hisia zinashuka kabisa๐Ÿ’”
 
We mtoto weweeeh..๐Ÿ˜€
Muambie Nampenda sana pia,
no mara waa am going through, aah' no mara waa, no mara how busy I am, aaam, no mara how many times anazurura, Lindi ni nyumbani atarudi tu..!!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Upo sahihi kabisa
 
Uzuri babez zangu wanajua mbilinge za kariakoo, muda wa kuwacheki ni night kali.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ