Mawaziri akiwemo Waziri Mkuu, wanalipwa perdiem wawapo Bungeni kwa kigezo gani ili hali wanakaa katika nyumba za Serikali Dodoma?

Hapana. Mawaziri hawalipwi perdiem wakiwa Dodoma kwa kuwa wapo nyumbani. Wabunge wengine wasio mawaziri ndio hulipwa perdiem. Pokea taarifa hiyo tafadhali
Mheshimiwa, Je Mh. Spika na naibu wake wanalipwa per Diem awapo bungeni?
 
Kazi iendeleee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…