All truth23
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 1,215
- 1,401
AsantePosho ya kujikimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsantePosho ya kujikimu
Posho ya siku hupewa mtumishi anapotoka kwenye kituo chake tu, sasa sijui kituo cha waziri mkuu ni kipi, sioni sababu ya yeye kulipwa mwaka mzima, hii inafanya awe na mishahara miwili.Kwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.
Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.
Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?
Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?
Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?
Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?
Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii ingawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.
Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
Kumbuka huyo ni mbunge sawa na wabunge wengineKwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.
Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.
Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?
Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?
Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?
Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?
Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii ingawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.
Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
Hapo ndipo unaona umuhimu wa kuwa na Katiba kama ya Kenya, inayosema member wa cabinet, waziri / waziri mkuu na asiwe mbunge...... kazi iendelee.Kumbuka huyo ni mbunge sawa na wabunge wengine
Uhuu ni zaidi ya uhujumu uchumij, lakini hapo hapo atakwambia uwe mzalendo na wakati yeye ni zaidi ya jangiliKwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.
Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.
Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?
Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?
Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?
Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?
Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii ingawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.
Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
... acha kujitoa ufahamu; baadhi ya malipo ya mbunge/waziri ni pamoja na mshahara, posho ya vikao (sitting allowance), na posho ya safari (per-diem). Hoja ya Heche ni WM na mawaziri ambao vituo vyao vya kazi ni Dodoma wanatoa wapi uhalali wa kulipwa per-diem?Bungeni ni sehemu ya kazi. Wabunge wa Chadema hiyo hoja waliikataa.
Kumbuka posho ya waziri mukuu, ni sawa na ya kiongozi wa Kambi ya upinzani Bungeni.
Wanalipwa vizuri mkuu, kuna jamaa yangu kapata Iyo nafasi kwa maelezo yake watalipwa tsh 40,000 kwa siku huku wakipewa chakula asubuhi na jioniAiseee wameambiwa hivyo au wanalipwa tu vizuri?
Nchi ni yetu sote? Au ?!! Wanasemaga “ all people are equally but some are much more equal than others “ hili halina ubishi na huu ndio urefu wa kamba wenyewe !!Kwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.
Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.
Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?
Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?
Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?
Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?
Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii ingawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.
Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
Katiba mpya itaondoa huu upuuzi wa kijambaziKwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.
Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.
Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?
Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?
Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?
Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?
Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii ingawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.
Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
Mwanadamu umtawalala mwenzie kwa manufaa yake mwenyewe***** zao, wanatukamua tozo kila uchwao ili wajineemeshe wao na familia zao
Huo unafiki , niwa kukataa kwa nguvu zote.Si hayumo humo lazima aongee, wakiingia mule wanasahau ya huku nje