Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
- Thread starter
- #21
Ndio maana Sri Lanka yaliwashinda.Unapoona watu wananajisi uchaguzi na kufanya mauji na uhayawani wa wazi, ni ili kupata hizo nafasi zenye ulaji wa kufuru.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana Sri Lanka yaliwashinda.Unapoona watu wananajisi uchaguzi na kufanya mauji na uhayawani wa wazi, ni ili kupata hizo nafasi zenye ulaji wa kufuru.
Na hilo ndio tatizo.Hao watetezi ni pamoja na huyo ambaye hapo awali
alikuwa akiilamba hii asali na
alikuwa kimya na hakupiga
kelele huko ndani. Leo yupo nje
ndo anayaona haya.
Ngoja waje kusema wahusikaKwani hizi seminar za siku 21 hamlipwi?
KATIBA MPYA NI SASAKwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.
Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.
Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?
Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?
Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?
Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?
Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii i ngawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.
Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
Naunga mkono hojaKwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.
Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.
Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?
Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?
Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?
Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?
Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii i ngawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.
Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
Tukijadili posho za Rais, waziri mkuu, mawaziri, jaji mkuu, spika, wakuu wa vyombo vya ulinzi na wengine wenye mamlaka kama hayo, ni vigumu kupata ukweli halisi.Kwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.
Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.
Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?
Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?
Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?
Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?
Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii i ngawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.
Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
Lakini mbona wenzetu wanawaadhibu viongozi wao kwa matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo ubadhirifu wa fedha, rushwa na kujilimbikizia mali, wao wanajuaje kuwa hawa jamaa wanakula kuliko urefu wa kamba zao?Tukijadili posho za Rais, waziri mkuu, mawaziri, jaji mkuu, wakuu wa vyombo vya ulinzi na wengine wenye mamlaka kama hayo, ni vigumu kupata ukweli halisi.
Hawa wanaweza kujipangia pesa nyingi sana, zinazojulikana na zisizojulikana.
Cha muhimu ni kupambana nao waongoze kwa haki na uadilifu katika mambo ya wazi.
Kipaumbele kiwe kuwadhibiti kama wakitoa maamuzi ya hovyo, yasiyo ya haki na yaliyo kinyume na katiba au sheria, hayo ya vipato yatakuwa yamekwisha moja kwa moja.
Hamia China bwasheeHili jambo kwa sasa linapaswa kuwa mjadala wa kitaifa.
Tuseme enough is enough.
***** zao, wanatukamua tozo kila uchwao ili wajineemeshe wao na familia zaoKwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.
Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.
Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?
Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?
Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?
Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?
Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii i ngawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.
Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
Iko hivi, hii nchi ina watu ambao akili zao zimelala sana. Unaweza kumtetea mtu maskini ili apate haki yake halafu mtu huyohuyo anayetetewa anakuponda vibaya. Hivyo acheni wakae Kimya tu, tena baada ya kuona wananchi wengi hawajielewi nao wameona waunge tu juhudi wapambanie familia zao.Tatizo mambo haya huwa tunakosa wa kutusemea hata wale tunaoamini ni watetezi wetu hukuti kupigia kelele masuala haya.
Tatizo yeye kakuta huu mfumo na nina imani haujaanza juzi au jana tuwangoje wajuaji waje kufafanuaKwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.
Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.
Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?
Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?
Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?
Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?
Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii i ngawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.
Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
Ungekia waziri usingesema yote hayaKwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.
Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.
Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?
Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?
Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?
Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?
Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii i ngawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.
Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
Tulisema wakoloni wanatunyonya ila na hawa wa leo wanafanya yale yale huku wakjjiita Wazalendo.***** zao, wanatukamua tozo kila uchwao ili wajineemeshe wao na familia zao
Huyu huyu anakuambia wafanyakazi walioongezewa 20,000 wasilalamike. Kweli ukishiba sana lazima uvimbiwe.Na cha ajabu hili jambo halihojiwi kabisa kama vile halipo!!
Na sababu haikosekani. Kiukweli hapa ndio kipimo cha uzalendo wa Mtu. Hata unapohubiri uzalendo basi ni ktk issue kama hizi. Je na wewe kama kiongozi unayaishi haya maisha??Tatizo yeye kakuta huu mfumo na nina imani haujaanza juzi au jana tuwangoje wajuaji waje kufafanua
Hawa wakututetea wanaishia kuwa machawa wakubwa kama si virobotoTatizo mambo haya huwa tunakosa wa kutusemea hata wale tunaoamini ni watetezi wetu hukuti kupigia kelele masuala haya.
Huyo Heche aache unafiki. Zito kabwe aliwahi jieleza wabunge uharali wa kutopokea hiyo posho ya "Makalio"Kwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.
Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.
Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?
Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?
Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?
Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?
Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?
Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii i ngawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.
Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
Bungeni ni sehemu ya kazi. Wabunge wa Chadema hiyo hoja waliikataa.Bungeni ni sehemu ya kazi, tena yeye ndio msimamizi mkuu wa shughuli za serikali bungeni so ni sehemu ya ofisi yake. Hastahili kuwa na perdiem...