Mawaziri akiwemo Waziri Mkuu, wanalipwa perdiem wawapo Bungeni kwa kigezo gani ili hali wanakaa katika nyumba za Serikali Dodoma?

Kwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.

Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.

Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?

Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?

Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?

Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?

Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?

Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii ingawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.

Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
Posho ya siku hupewa mtumishi anapotoka kwenye kituo chake tu, sasa sijui kituo cha waziri mkuu ni kipi, sioni sababu ya yeye kulipwa mwaka mzima, hii inafanya awe na mishahara miwili.
 
Kwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.

Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.

Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?

Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?

Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?

Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?

Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?

Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii ingawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.

Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
Kumbuka huyo ni mbunge sawa na wabunge wengine
 
Uhuu ni zaidi ya uhujumu uchumij, lakini hapo hapo atakwambia uwe mzalendo na wakati yeye ni zaidi ya jangili
 
Hii nchi ukiifuatilia utakufa uiache, sina neno miye ila nafaka zishuke bei tuu, sasa ntafanyaje?
 
Hivi ikiwa wanalipwa mishahara ya ubunge kama kazi yao tuliyowaajiri
sasa hizi posho za nini Tena kwenye vikao.
 
"In Africa,election is a cut throat contest." Profesa PLO Lumumba.
Naam!! Siasa ni ULAJI.Ni njia nyepesi na fupi kutajirika.Huko ndiko zinakopukutika pesa za walalahoi.
 
Bungeni ni sehemu ya kazi. Wabunge wa Chadema hiyo hoja waliikataa.
Kumbuka posho ya waziri mukuu, ni sawa na ya kiongozi wa Kambi ya upinzani Bungeni.
... acha kujitoa ufahamu; baadhi ya malipo ya mbunge/waziri ni pamoja na mshahara, posho ya vikao (sitting allowance), na posho ya safari (per-diem). Hoja ya Heche ni WM na mawaziri ambao vituo vyao vya kazi ni Dodoma wanatoa wapi uhalali wa kulipwa per-diem?

Makazi na ofisi zao ni Dodoma; hiyo posho ya safari (per-diem) wanalipwa ya nini? Mbona watendaji wengine wanapotekeleza majukumu yao kwenye vituo vyao vya kazi hawalipwi hizo per-diem ila wao? Why double standards? Very simple logic!
 
Aiseee wameambiwa hivyo au wanalipwa tu vizuri?
Wanalipwa vizuri mkuu, kuna jamaa yangu kapata Iyo nafasi kwa maelezo yake watalipwa tsh 40,000 kwa siku huku wakipewa chakula asubuhi na jioni
 
Kwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.

Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.

Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?

Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?

Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?

Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?

Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?

Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii ingawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.

Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
Nchi ni yetu sote? Au ?!! Wanasemaga “ all people are equally but some are much more equal than others “ hili halina ubishi na huu ndio urefu wa kamba wenyewe !!
 
Watanganyika hatujielewi tazama hii kamati ya kukusanya maoni, wote wanaitwa kwenye kamati ni wanasiasa kana kwamba hii ni ya wanasiasa peke yao. Na vilevile wasomi wetu wanatuangusha baada ya kuonyesha kama usomi wao unawasaidia vipi watanzania waliokosa fursa ya kusoma, wengi wao wanakuwa machawa ili wapate teuzi. Haya maoni ya katiba nitaona ya maana kama wananchi wa kawaida kawaida watashirikishwa, kinyume na hapo ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi. Swala la mishahara na posho za viongozi ni vizuri vikainishwa wazi, ili wananchi wajue viongozi wao, sitahiki wanazilipwa ni sawa na majukumu wanayo yafanya. Ili kupunguza manung'uniko ya wananchi walipa kodi, ambao wengi wao kesho yao hawajui.
 
Kwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge.

Wote tunajua perdiem ni posho ya safari kwa mtumishi anaposafiri kikazi na si vinginevyo ili imsaidie kugharamia malazi, chakula na mambo mengine awapo safarini.

Kwakuwa Waziri Mkuu anakaa katika nyumba ya serikali na bila shaka anahudumiwa na serikali karibu kila kitu, uhalali wa Waziri Mkuu kulipwa perdiem unatoka wapi ili hali yeye na mawaziri wengine wanakaa Dodoma katika nyumba za serikali?

Hata Spika na Naibu Spika, nao wanastahili hayo malipo?

Je, wanalipwa kwasababu tu na wao ni wabunge?

Kama hiyo ndio sababu, hii ni sahihi?

Je, haya sio matumizi mabaya ya fedha za umma?

Katiba Mpya ilenge kupiga marufuku mambo ya aina hii ingawa si kila kitu ni cha kuingizwa kwenye katiba.

Pia, hii ni sababu nyingine kwanini mawaziri wasitokane na wabunge.
Katiba mpya itaondoa huu upuuzi wa kijambazi
 
Vuta shuka endelea kulala.huelew maaan yake.umekaa kudiscuss vitu vidogo kisa unaaandika andika tu
 
Si hayumo humo lazima aongee, wakiingia mule wanasahau ya huku nje
Huo unafiki , niwa kukataa kwa nguvu zote.
Alivyo chaguliwa Mbowe , kua KUB , alikabiziwa gari liliro tumiwa na mtangulizi wake , Amad Rashidi Mohamed, alilikataa mbere ya wandishi wa habari.

Alivyo letewa jipya kama la P/ minster kaenda kuchukua kimyakimya. Je huo siyo unafiki?
 
Back
Top Bottom