Mawaziri SMZ Wafariji Rais Samia Kizimkazi

Mawaziri SMZ Wafariji Rais Samia Kizimkazi

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Septemba, 2026.
IMG-20260911-WA0106.jpg
IMG-20260911-WA0105.jpg
IMG-20260911-WA0102.jpg
IMG-20260911-WA0103.jpg
IMG-20260911-WA0104.jpg
 
Basi kwa akili zake anaweza akatamani adondoke mwengine ili aendelee kusujudiwa na mizee yenye ndevu kila upande !
 
Back
Top Bottom