😀😀😀😀😀😀😀Acheni wivu wakipuuzi..fanya kaz kwa bidii sio kuanzisha uzi wa kumuonea gere aliyepata.baba yako angepata nafas angetumia pia vizur na usingekua hapa unaandika vitu vya wenzio bila udhibitisho.
Fight with your condition..
Nyalandu ni mwizi kwa mujibu wa maandiko yenu wanachadema...Wapmb-- nyie lazaro kumtembelea lissu imekuwa shidaaaa .....andikeni khsu jaji mkuu mstaafu piaaa
Ova
Mkuu huu uzi ni wa 2012 na uliwekwa na mwana chadema mwenzako. Sasa kwa kuwa amepiga picha na ndg zako ndiyo maana unatoa mapovu!! Chagadema ni shidaaaa!!Wapmb-- nyie lazaro kumtembelea lissu imekuwa shidaaaa .....andikeni khsu jaji mkuu mstaafu piaaa
Ova
Suala hapa ni lazaro ni kumtembelea lissu imekuwa shidaaaa kwa wana ccmMkuu huu uzi ni wa 2012 na uliwekwa na mwana chadema mwenzako. Sasa kwa kuwa amepiga picha na ndg zako ndiyo maana unatoa mapovu!! Chagadema ni shidaaaa!!
...kanywe kwanza dawa zako ndo urudi kusoma tarehe!Uzi huu umeandikwa kwVile Nyalandu alienda kumwona TL
Umeona ni uZI wa lini huu?Uzi huu umeandikwa kwVile Nyalandu alienda kumwona TL
Hii ni thread ya 2012 wakati huo Lissu alikuwa hospitalini?? Hebu tumia ubongo wako basi!!Suala hapa ni lazaro ni kumtembelea lissu imekuwa shidaaaa kwa wana ccm
Ova
Yote haya ni kwa sababu kaenda kumsalimia Tundu Lissu !!! Wa ngapi wana majumba yasiyolingana na vipato vyao, ukiwemo were mwenyewe ? Toa boliti jichoni kwako kwanza...Baada ya mawaziri wawili wa JK kuhusishwa na umiliki wa majumba/makazi ya mamilioini ya shilingi muda mfupi tu baada ya kushika nafasi zao Waziri mwingine anatajwa kumilimi jumba kubwa ambalo vyanzo vyetu vinakisia thamani yake kuwa ni zaidi ya nusu bilioni. Kutokana na vyanzo hivyo vya kuamika jumba hilo liko kwenye Elkirevi, Kitongoji cha Olorukwa.
Kwa mujibu wa vyanzo vyetu vya ndani kabisa eneo hilo linadaiwa kuwa lilipatikana baada ya Bw. Nyalandu kununua ardhi yenye eneo la Eka 3 hivi kutoka kwa wanavijiji watano. Jumba lenyewe limejengwa chini ya mwaka mmoja na kukamilikama mwishoni mwa 2011. Jumba limezungushwa na ukuta wa karibu futi 10 na juu yake inadaiwa limewekwa waya wa umeme (electric fence)
Ni kwenye jumba hili ambapo Bw. Nyalandu alifanyia Sherehe ya Mwaka mpya na bila ya shaka ilikuwa ni 'house warming' party. Taarifa hizi zinaendana na zile za mawaziri wengine ambao tayari habari zao za umiliki wa majumba yenye thamani kubwa kuliko vipato vyao na walizopata ndani ya muda mfupi baada ya kuingia madarakani. Mawaziri wengine ni Bw. Maige na Ngeleja ambao wote thamani ya nyumba zao zinakaribia shilingi bilioni 1!
Hata hivyo hadi hivi sasa Tume ya Maadili ya Viongozi haijaonesha kujua mambo haya wala kufuatilia na kuyaweka wazi kama wanazo taarifa na kama kweli vyote hivyo vinaendana na mishahara yao.
Una uhakika mimi chadema? Unaweza nitajia namba ya kadi yangu? Nawewe uweke akiba ya maneno usihukumu mtu kama humjui itikadi yake wala hujawahi kutana naye kwenye mikutano. Sina chama na sihitaji chama chochote kuishi nchini mwangu.Hizo ni nyuzi zenu chadema....ndiyo maana huwa tunawashaurini muweke akiba ya maneno.
acha ujinga ww, hiyo M7 ndio mshahara.zaidi ya mshahara wa waziri na posho zake ambazo haziwezi zidi m7 kwa mwezi. Kuna kipato gani zaidi cha kumuwezesha mtu kujenga nyumba ya b1 kwa kuzingatia na maisha mengine yanaendelea?
tupe na ww ushahid wa hzo pesa ndefu kabla hajawa waziri tupe vitu alivyokuwa anamiliki kabla na thaman yake. bila shaka cc n watu wa singidaMimi sishangai kwa huyu Lazaro kuwa jumba la thamani hiyo,kwasababu ana pesa ndefu kabla hata hajawa mbunge na hatimaye waziri,japo hili halimzuhii kufuja mali za umma.Na kama mchangiaji mmoja alivyododosa tatizo ni utumiaji rasilimali za nchi kufanya mambo binafsi kama hayo.kama mleta uzi ana ushahidi hata wa kimazingira tu,aumwage hapa ili huu uzi usikae kiswaziswazi.