Tetesi: Mawaziri wa Kikwete: Lazaro Nyalandu, na Jumba la karibu milioni 600 Arusha!


Hayo ni majumba ya serikali waliuziana, kwa bei chee,na ya Nyalandu naijua ipo uzunguni, sasa basi kwenye serikali hii nani ajala nyumba ya serikali?
 
Uchunguzi ufanyike, ikijulikana anyang'anywe tuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…