Mawaziri wa ulinzi wa ECOWAS tayari wamekubaliana kupeleka jeshi Niger. Je, wanamapinduzi watamudu?

Mali na Burkina Faso matumbo moto maana kama Ecowas watafanikiwa kuwakamata hao wanajeshi wa Niger basi nao wajiandae kuondoka madarakani

Yaani nchi zote Tatu population yao kama Tz
Hawa ni kuwachapa tu tena na Bongo tupeleke jeshi au mnasemaje
 
Hila viongozi wa africa wanazingua sn hyo niger ina resources kibao lakini ufaransa anajizolea tu wanalipa wanavyotaka wao huku viongozi wana kazi ya kuombaomba tu
 
🪖 Several Wagner Group "consultants" arrived in Niger from Mali today.
 
Hila viongozi wa africa wanazingua sn hyo niger ina resources kibao lakini ufaransa anajizolea tu wanalipa wanavyotaka wao huku viongozi wana kazi ya kuombaomba tu
Bora wewe umesema
Hawa wafaransa wanaendelea kunyonya mali za waafrika tena kibabe kila sehemu waliokalia
Wanaweza kutengeneza kikundi cha uasi kiasi wanapigana na jeshi la serikali wao wanabeba wanachoweza

Waafrika hatuwezi kuamka kwa tamaa ya mali
 
Mali na Burkina Faso matumbo moto maana kama Ecowas watafanikiwa kuwakamata hao wanajeshi wa Niger basi nao wajiandae kuondoka madarakani

Yaani nchi zote Tatu population yao kama Tz
Hawa ni kuwachapa tu tena na Bongo tupeleke jeshi au mnasemaje
Ila Population ya ISRAEL ni kubwa kuliko Tanzania si ndio.... Ikija Kwa Israel mnawasifu ila hawa mnawacheka Wachache unanishawishi kukuita mjinga kiongozi...mnakuwaga na akili za kitoto sana likijaga suala la Marekani na West sijui waliwapa maujinga gani aseee mpaka mnashindwa kushirikiaha Halmashauri za Vichwa vyenu....
 
Back
Top Bottom