AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,318
- 4,106
Same way kilichotokea kwa BASHIR WA SYRIA. alipogomea Bomba LA gesi kutoka Qatar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu tuambie ECOWAS walivyolazimisha Rais wa Chad aondoke baada ya kushindwa uchaguzi kulikuwa na maslahi gani ya wazungu?Ishu sio ecowas. Ishu ni Nigeria anavyotumika. Na yeye ndio anawaburuza wenzie huko west. Wazungu wanataka kujenga Bomba LA gesi kutoka Nigeria to Mediterranean Sea kupitia Niger kwenda Ulaya. So waachane na gesi ya russia. So putin kawawahi kwa mbele na hili limewakera. We hujiulizi mbona hawajapeleka jeshi Mali au Burkina Faso. Lakini Niger wanakuwa na kiherehere. Ishu ni huyo Nigeria ambaye ameshidwa kumalizana na boko haramu kiasi kwamba hapo Niger Kuna raia wake kama laki 3 kama wakimbizi badala ya kuangalia namalizaje Hawa BoKo eti anaenda kuivamia nchi ambayo imepokea raia wake.
France anajua bila hizo nchi hali yake ya kunyonya Africa ndio itakuwa mwisho. Na Hana njia nyingine zaidi ya vita. Na kwenda mwenyewe front hataki sababu wenzetu wanavalue sana uhai WA watu wao. Ila sisi ngozi nyeusi ni shida sana.... So Nigerians will die just to make white man happy
yaaan ww jamaa kl sehemu upo
Kwa sasa ushawishi wao kama vile unapungua (ila bado upo sana tu).Unajua Ufaransa waliiba sana Africa sema hawatosheki tu.
Kwa kuwa mpo jikoni mnajipakulia minyama ...mirija inazibwa mnaanza kulalama.... Mabeyo aliniudhi sana .. yaaani palepale Magufuli alipopiga tuta alikuwa atunyooshee kidogo nchi...Bora uongozwe na fisad SSH kuliko mwanajeshi , wanajeshi ni htr na madaraka na sheria huwa mkonon