Mawaziri wa ulinzi wa ECOWAS tayari wamekubaliana kupeleka jeshi Niger. Je, wanamapinduzi watamudu?

Mawaziri wa ulinzi wa ECOWAS tayari wamekubaliana kupeleka jeshi Niger. Je, wanamapinduzi watamudu?

Hao wa Niger wanaenda kupigwa asubuhi na mapema. Chezea maslahi ya wamagharibi wewe
 
Hao ECOWAS wataweza kupigana na Wagner Group kweli,ile ni nchi huru inayo ruhusa kuomba usaidizi wa majeshi toka nje ya nchi kujilinda dhidi ya wavamizi.
Hao ECOWAS ni wavamizi tu kama wananchi wa Niger wameridhia mapinduzi ECOWAS ni nani waache vihehere.
 
Yupo marekani na😍 ufaranza pale wana vikosi jumla kama wanajeshi 2500.Kingine Niger ni nchi kubwa west africa.ila ina wanajeshi active 10k tu.Sasa jiongeze watatoboa au vp
 
Haka ndio kale kausemi ka zoa zoa kanakaribia kurudi miaka ile ya historian mjiandae tu vijana maana wakifia uko jeshi litakua ndio linapungua Ivo huyu wazi kabudi😃
 
Hila viongozi wa africa wanazingua sn hyo niger ina resources kibao lakini ufaransa anajizolea tu wanalipa wanavyotaka wao huku viongozi wana kazi ya kuombaomba tu
Bora fisadi kuliko mwanajeshi kuongoza nchi hao huwekeza nguv kwenye jeshi na kuminya uhuru wa watu kbs ili wabakie madarakan
 
Ila Population ya ISRAEL ni kubwa kuliko Tanzania si ndio.... Ikija Kwa Israel mnawasifu ila hawa mnawacheka Wachache unanishawishi kukuita mjinga kiongozi...mnakuwaga na akili za kitoto sana likijaga suala la Marekani na West sijui waliwapa maujinga gani aseee mpaka mnashindwa kushirikiaha Halmashauri za Vichwa vyenu....
Bora uongozwe na fisad SSH kuliko mwanajeshi , wanajeshi ni htr na madaraka na sheria huwa mkonon
 
Idadi ya raia ndiyo nini una vifaa gani na jeshi gani ndiyo msingi
Ukubwa wa eneo la nchi na idadi ya watu havihusiani
Kweli kabisa mkuu ila kumbuka wakianzisha vita watajivurugia urafiki wao na nchi jirani pia uchumi
Kumbuka Ghana na Nigeria wako jirani zao na ni mataifa makubwa yenye nguvu
Labda tunaangalia upande tofauti
 
Napia waza mapigano yanaweza Hamia kwenye nchi kama Nigeria, kama kumtuliza nikumshambulia kwake, bahati nzuri au mbaya Wagner wamewasili Niger.
Yes, it's obvious kuwa Wagner ndiyo wanao coordinate Mapunduzi pale, ili ule ukande utawaliwe Kijeshi na ndicho ambacho Russia anachojaribu kukifanya ili aitawale Afrika.

Putin anaitaka Afrika iliyo chini ya tawala za Kujeshi sababu anajua kupitia hizo amri itakua ni moja na yeye atapata partners wa uhakika, hizi democracy za kupiga kura sijui uhuru wa maoni, anajua haiwezi kumsaidia kujenga ushawishi Afrika au inamchelewesha.
Ila kwa kuwa pale Ulaya wana Maslahi ya moja kwa moja, nina amini Wagner watafanywa vibaya sana. Wazungu ni zaidi ya blood thirsty canines wenye njaa pale ukigusa maslahi yao.
 
Hakuna kitu kama hicho,Ufaransa hata Mali waliondoka bila tatizo kabisa.Ufaransa wana tons of Dhahabu kwenye hifadhi zao huko Paris na kwingineko. Unajua Ufaransa waliiba sana Africa sema hawatosheki tu.
Unafahamu kuwa Katika Nchi za Ulaya Magharibi Ufaransa ndio wako hoi bin taaban kwa sasa?
 
Unafahamu kuwa Katika Nchi za Ulaya Magharibi Ufaransa ndio wako hoi bin taaban kwa sasa?
Hoi kiaje sasa?Au unamsema Italia ,Spain na Portugal huko?Ulaya Magharibi inajulikana Ujerumani ndo baba lao,anafuatia UK then wa tatu France.
 
Hakuna kitakacho washinda pale, zaidi ni kwamba escalation itaenda mpaka kwenye nchi nyingine zilizoganya mapinduzi ya kijeshi.
Sema kutakua na ukatili wa hali ya juu dhidi ya waasi ili kupeleka ujumbe kwa viongozi wengine wa kijeshi wanaofikiria kufanya mapinduzi wajiulize mara tatu hadi tano.
wapi alipo Mrusi Marekani & it`s allies wanashinda vita?
 
Hii ilikuwa lazima, vinginevyo ingeonekana ECOWAS Haina maana

Ngoja wanyooshwe kidogo

C.c Smart911
Ishu sio ecowas. Ishu ni Nigeria anavyotumika. Na yeye ndio anawaburuza wenzie huko west. Wazungu wanataka kujenga Bomba LA gesi kutoka Nigeria to Mediterranean Sea kupitia Niger kwenda Ulaya. So waachane na gesi ya russia. So putin kawawahi kwa mbele na hili limewakera. We hujiulizi mbona hawajapeleka jeshi Mali au Burkina Faso. Lakini Niger wanakuwa na kiherehere. Ishu ni huyo Nigeria ambaye ameshidwa kumalizana na boko haramu kiasi kwamba hapo Niger Kuna raia wake kama laki 3 kama wakimbizi badala ya kuangalia namalizaje Hawa BoKo eti anaenda kuivamia nchi ambayo imepokea raia wake.
France anajua bila hizo nchi hali yake ya kunyonya Africa ndio itakuwa mwisho. Na Hana njia nyingine zaidi ya vita. Na kwenda mwenyewe front hataki sababu wenzetu wanavalue sana uhai WA watu wao. Ila sisi ngozi nyeusi ni shida sana.... So Nigerians will die just to make white man happy
 
Back
Top Bottom