Kyenyabasa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2023
- 247
- 715
Tupe taarifa nyoofu,hata kama na fursa zikiwepo tupe🤸🤸🤸🤸🤸Sasa mziki unaenda kufungwa nchini Niger,je wanajeshi waliopindua watatoboa!
HAWAWEZI KUTOBOASasa mziki unaenda kufungwa nchini Niger,je wanajeshi waliopindua watatoboa!
ECOWAS isinge react inge influence uasi kwenye ule ukanda wote. Kipengele chao cha kuingilia kijeshi pale hali kama hiyo inapotokea kwa Mwanachama wao ndiyo kiliweza kupunguza uasi pale.
Unaandika kama unatafuna mkaa wenye moto.Wemeongeza muda tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Hila viongozi wa africa wanazingua sn hyo niger ina resources kibao lakini ufaransa anajizolea tu wanalipa wanavyotaka wao huku viongozi wana kazi ya kuombaomba tuMali na Burkina Faso matumbo moto maana kama Ecowas watafanikiwa kuwakamata hao wanajeshi wa Niger basi nao wajiandae kuondoka madarakani
Yaani nchi zote Tatu population yao kama Tz
Hawa ni kuwachapa tu tena na Bongo tupeleke jeshi au mnasemaje
Mali na Burkina Faso matumbo moto maana kama Ecowas watafanikiwa kuwakamata hao wanajeshi wa Niger basi nao wajiandae kuondoka madarakani
Yaani nchi zote Tatu population yao kama Tz
Hawa ni kuwachapa tu tena na Bongo tupeleke jeshi au mnasemaje
Kuna wale Wachchnya,vita yao kitanda Kwa kitanda kama kampeni za Ccm.Utashangaa ccm wanachangia sana hii mada.
Watakutana na wagner
Hilo eneo ndio basi tena.Itakuwa uwanja wa vita wa mabeberu.
Bora wewe umesemaHila viongozi wa africa wanazingua sn hyo niger ina resources kibao lakini ufaransa anajizolea tu wanalipa wanavyotaka wao huku viongozi wana kazi ya kuombaomba tu
Ila Population ya ISRAEL ni kubwa kuliko Tanzania si ndio.... Ikija Kwa Israel mnawasifu ila hawa mnawacheka Wachache unanishawishi kukuita mjinga kiongozi...mnakuwaga na akili za kitoto sana likijaga suala la Marekani na West sijui waliwapa maujinga gani aseee mpaka mnashindwa kushirikiaha Halmashauri za Vichwa vyenu....Mali na Burkina Faso matumbo moto maana kama Ecowas watafanikiwa kuwakamata hao wanajeshi wa Niger basi nao wajiandae kuondoka madarakani
Yaani nchi zote Tatu population yao kama Tz
Hawa ni kuwachapa tu tena na Bongo tupeleke jeshi au mnasemaje