little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 1,870
- 3,589
Yani acha kabisa sijui hata alichokiandika alitafakari.Ila Population ya ISRAEL ni kubwa kuliko Tanzania si ndio.... Ikija Kwa Israel mnawasifu ila hawa mnawacheka Wachache unanishawishi kukuita mjinga kiongozi...mnakuwaga na akili za kitoto sana likijaga suala la Marekani na West sijui waliwapa maujinga gani aseee mpaka mnashindwa kushirikiaha Halmashauri za Vichwa vyenu....
Masikini ya Mungu Niger inageuzwa Syria ya Africa MagharibiSasa mziki unaenda kufungwa nchini Niger, je, wanajeshi waliopindua watatoboa?
====
Pia soma: Viongozi wa ECOWAS watoa Wiki Moja kwa Jeshi la Niger kuachia madaraka
Vingenevyo Ufaransa ingetangazwa Muflisi kama Ugiriki
Kabisa,kupinduana si vyema.Tena kupindua kwenyewe kwa kushawishiwa na Wagner ili na wao wale.No wander nyumbani kwa Prigozhin kulikutwa na madhahabu kama yote.
Ufaransa pale wamechimba Uranium kwa miaka zaidi ya 60 .Wanageukaje kuwa Ugiriki Mfaransa anategemea Uranium ya Niger kwa asilimia 10 tu.Mpaka kuna mgodi walifunga baada ya kuisha deposit.Na mgodi uliopo life span yake ni mpaka 2040.Vingenevyo Ufaransa ingetangazwa Muflisi kama Ugiriki
Hakuna kitu kama hicho,Ufaransa hata Mali waliondoka bila tatizo kabisa.Ufaransa wana tons of Dhahabu kwenye hifadhi zao huko Paris na kwingineko. Unajua Ufaransa waliiba sana Africa sema hawatosheki tu.Vingenevyo Ufaransa ingetangazwa Muflisi kama Ugiriki
Kuna watu vichwa vyao ni makabati ya kuhifadhia meno. Msamehe tu.Ila Population ya ISRAEL ni kubwa kuliko Tanzania si ndio.... Ikija Kwa Israel mnawasifu ila hawa mnawacheka Wachache unanishawishi kukuita mjinga kiongozi...mnakuwaga na akili za kitoto sana likijaga suala la Marekani na West sijui waliwapa maujinga gani aseee mpaka mnashindwa kushirikiaha Halmashauri za Vichwa vyenu....
Mkuu msamehe bure hawa vijana wana arguments za kishenzi sana hawajali wengine ni wastaarabu humu ndani. Mtu badala ajadiri hoja ana attack personality ya mtu.We unatumia nguvu nyingi kutukana badala ya kuelewa mada husika
Hapa tunajadili ujinga wao kupindua nchi ambayp Rais aliteuliwa kwa kura
Hao Israel unawasikia tu mimi nimeishaenda Tel Aviv na nilivuka port aqaba miaka 40 iliyopita na wewe unaisoma kwenye magazeti tu
Tumia akili kidogo tu hivi umekulia kwa baba mlevi aliekuwa anawapiga mpaka mama yenu ama
Mbona unakuwa na mdomo mchafu hivi kama umekulia jalalani wewe
Hunijui ni kama unatukana robot tu tunaweza kujibishana mpaka kesho na usinijue niko wapi au naishije Nami pia sikujui ila kwa maneno yako haya umeniridhisha nikujue ni chokoraa tu usie na maadili tena maskini wa akili na maisha pia
Na kweli mtoto wa nzi unaeishi chooni
I'm not gonna argue with a fool
Mambo yameamuliwa yapelekwe kibabeSasa mziki unaenda kufungwa nchini Niger, je, wanajeshi waliopindua watatoboa?
====
Pia soma: Viongozi wa ECOWAS watoa Wiki Moja kwa Jeshi la Niger kuachia madaraka
Nashukuru mkuuMkuu msamehe bure hawa vijana wana arguments za kishenzi sana hawajali wengine ni wastaarabu humu ndani. Mtu badala ajadiri hoja ana attack personality ya mtu.
ECOWAS naona hawana mchezo si kama muungano wa EA
Na wakishindwa itakuwaje?ECOWAS isinge react inge influence uasi kwenye ule ukanda wote. Kipengele chao cha kuingilia kijeshi pale hali kama hiyo inapotokea kwa Mwanachama wao ndiyo kiliweza kupunguza uasi pale.
UmeelewekaECOWAS isinge react inge influence uasi kwenye ule ukanda wote. Kipengele chao cha kuingilia kijeshi pale hali kama hiyo inapotokea kwa Mwanachama wao ndiyo kiliweza kupunguza uasi pale.
Hakika mkuu, inapendeza,walinde heshima Yao!ECOWAS naona hawana mchezo si kama muungano wa EA
Hakuna kitakacho washinda pale, zaidi ni kwamba escalation itaenda mpaka kwenye nchi nyingine zilizoganya mapinduzi ya kijeshi.Na wakishindwa itakuwaje?
Idadi ya raia ndiyo nini una vifaa gani na jeshi gani ndiyo msingiMali na Burkina Faso matumbo moto maana kama Ecowas watafanikiwa kuwakamata hao wanajeshi wa Niger basi nao wajiandae kuondoka madarakani
Yaani nchi zote Tatu population yao kama Tz
Hawa ni kuwachapa tu tena na Bongo tupeleke jeshi au mnasemaje
Napia waza mapigano yanaweza Hamia kwenye nchi kama Nigeria, kama kumtuliza nikumshambulia kwake, bahati nzuri au mbaya Wagner wamewasili Niger.Hakuna kitakacho washinda pale, zaidi ni kwamba escalation itaenda mpaka kwenye nchi nyingine zilizoganya mapinduzi ya kijeshi.
Sema kutakua na ukatili wa hali ya juu dhidi ya waasi ili kupeleka ujumbe kwa viongozi wengine wa kijeshi wanaofikiria kufanya mapinduzi wajiulize mara tatu hadi tano.
ECOWAS ina majukumu gan?