Mawaziri wa ulinzi wa ECOWAS tayari wamekubaliana kupeleka jeshi Niger. Je, wanamapinduzi watamudu?

Hali inaonesha Mpango wa ecowas utakuwa mgumu maana idadi kubwa ya wananchi wa Niger wenyewe wanayaunga mkono mapinduzi, pili Russia nae yuko nao pamoja wakat huo huo huko Niger kuna takriban wanajeshi wa Ufaransa 1,500 na jeshi la Marekan pia lipo kwa ukubwa km huo na wote wanaunga mkono serikali iliyopinduliwa huku ikizingatiwa kuwa hayo majeshi ya kigeni ni moto na moshi na Russia. Kwa ujumla hali itakuwa mbaya, kwa vile muda wa mwisho ni leo tusubiri kesho kuskia kitakachojili.
 
Hebu tuambie ECOWAS walivyolazimisha Rais wa Chad aondoke baada ya kushindwa uchaguzi kulikuwa na maslahi gani ya wazungu?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Bora uongozwe na fisad SSH kuliko mwanajeshi , wanajeshi ni htr na madaraka na sheria huwa mkonon
Kwa kuwa mpo jikoni mnajipakulia minyama ...mirija inazibwa mnaanza kulalama.... Mabeyo aliniudhi sana .. yaaani palepale Magufuli alipopiga tuta alikuwa atunyooshee kidogo nchi...
 
Miemko na tamaa Ya viongoz itawatesa wananchi masikini wa Niger
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…