Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Tulisikia kwa vinywa vyetu kuwa kuna baadhi ya mawaziri walikuwa na mpango wa kumkwamisha Rais Samia ili asifikie malengo yake ya kuwatumikia Watanzania.
Hapa kwa haraka haraka tukapata hisia kuwa walikuwa na na nia ya kumzuia asitinge Ikulu kama mgombea wa CCM mwaka 2025.
Ndipo tukasikia baadhi ya mawaziri wakiwekwa kando na baadhi yao tukaambiwa watakuwa na kazi maalumu huko Ikulu ya Chamwino.
Lakini safu aliyoiweka mama haiweza kuonesha nia thabiti ya kuwatumikia watanzania. Hatusikii mrejesho wa dhati wa kutatua shida za watanzania. Mfano January Makamba ameshaprove failure na sasa ni uozo tu kwenye wizara anayosimamia.
Hapa ndipo tunapata picha kuwa kumbe hakuna waziri aliyekuwa akimkwamisha rais Samia bali ilikuwa ni janja ya kuunda genge fulani ambalo linawacost Watanzania.