Wapalestina walivamia ardhi baada ya waisraeli kwenda uhamishoni wakitokea kwenye mataifa mengine ya kiarabu.Mayahudi waliolaaniwa na laana inaendelea kuwatesa, wanauwa wazee, watoto, watu wazima, hawa utasema watu wema!!! Kwanini HAMAS wawe magaidi ila mayahudi wawe wazuri!!!
Kwa lugha nyepesi ni kwamba wapalestina ni jamii ya watu waliotoka katika mataifa mbalimbali ya kiarabu na baada ya kukaa kwenye ardhi ya waisrael wakajiita wapalestina. Huo ndio ukweli wa mambo.