sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,474
- 6,195
Na zitanunuliwaAmejichoresha Sana. Eti anaomba wakuu wa wilaya wanunuliwe magari as if Kuna DC mwenye gari bovu.
Wakati mwingine Najiuliza hivi mtu Kama huyu alifikaje ngazi ile?
Wananchi hawana dawa, gharama za maisha zimepanda kwa kiwango ambacho hakijawahi kutolea, kirahisi tu MTU anataka kununua zaidi ya VX 150 kila moja ikiwa na gharama ya zaidi ya milioni Mia mbili.