Mawaziri waliokalia kuti kavu

Mawaziri waliokalia kuti kavu

Amejichoresha Sana. Eti anaomba wakuu wa wilaya wanunuliwe magari as if Kuna DC mwenye gari bovu.
Wakati mwingine Najiuliza hivi mtu Kama huyu alifikaje ngazi ile?
Wananchi hawana dawa, gharama za maisha zimepanda kwa kiwango ambacho hakijawahi kutolea, kirahisi tu MTU anataka kununua zaidi ya VX 150 kila moja ikiwa na gharama ya zaidi ya milioni Mia mbili.
Na zitanunuliwa
 
Kuelekea mabadiliko ya baraza la mawaziri, ni mawaziri na manaibu gani wamekalia kuti kavu? Mimi naanza na Mh. Bashungwa sidhani kama atabaki Tamisemi sidhani.
bushungwa kitakachomuondoa sio mvaa kobazi.Hakuna lingine!
 
Kuelekea mabadiliko ya baraza la mawaziri, ni mawaziri na manaibu gani wamekalia kuti kavu? Mimi naanza na Mh. Bashungwa sidhani kama atabaki Tamisemi sidhani.
Nani kasema kuna mabadiliko yanakuja ya Baraza la Mawaziri?
 
Kuelekea mabadiliko ya baraza la mawaziri, ni mawaziri na manaibu gani wamekalia kuti kavu? Mimi naanza na Mh. Bashungwa sidhani kama atabaki Tamisemi sidhani.
Utakuwa na chuki Binafsi na Mh Bashungwa
Nikijana Mwenzetu badala Tumuombee Mema na afanye kazi vema zaidi wewe unawaza kumuaribia Mwenzako.utakta hapo ulipo huna Nyuma wala Mbele wala katikati
 
why Bashungwa? mapungufu yake ni yapi?
Uozo katika halmashauri imekithiri, amekosa ubunifu wa kuudhibiti. Jana hata pendekezo la kutumia TEHAMA, pia hata kuomba kitengo maalum Cha CAG kukagua halmashauri Kila mwezi, au miezi miwili au mitatu.

Yaani tunakaa mwaka mzima, watu wanaiba weeee, baada ya mwaka tunaletewa ripoti ya wizi.

CAG awe anatoa ripoti Kila mwezi/miezi miwili au mitatu, yaani anakaa ofisini mwaka mzima, hebu abadilike huyu CAG, tunataka briefings za Kila miezi miwili mitatu
 
Back
Top Bottom