Tetesi: Mawaziri wanaoingiliwa majukumu na RC Makonda kuanza vikao kumjadili

Tetesi: Mawaziri wanaoingiliwa majukumu na RC Makonda kuanza vikao kumjadili

Iddi Amin alikuwa na Mtu anayeitwa James MalyaMungu, Iddi amini akichukuia kitu hata kama hajatoa Amri kesho kile kitu kinafutika katika uso wa Dunia, Iddi Amini alikuwa akisema Kiwanuka hafai hata kidogo kesho ataambiwa maiti ya Kiwanuka iko kwenyenjokofu sehemu
MalyaMungu alikuwa anaogopwa kuliko Iddi Amini

NAMKUMBUKA SANA HUYU.

ALIKUWA HATARI MNO.
 
View attachment 585719
Mh.Makonda akikagua gwaride

Kuna tetesi kuwa mawaziri wanaoingiliwa na Mkuu wa Mkoa Dar kimajukumu wanatarajia kuanzia kesho visivyo rasmi kumjadili. Mawaziri hao wamekuwa wakilalamika Makonda kukwapua majukumu ya wizara kupita kawaida jambo linalowafanya wao waonekane wapumbavu mbele ya Rais.

Wametolea mfano Makonda kumpoka Waziri Mwigulu katika kusimamia na kuamrisha jeshi la polisi mkoa wa Dar.

Tukio la juzi Makonda kuzuia bomoa bomoa imewaumiza sana na kuonekana Waziri wa Ardhi hatimizi wajibu wake. Pia mawaziri hao wamekuwa wazito kuchukua hatua kwa masuala ya Dar es Salaam wakihofia kudhalilika ikiwa Makonda atatengua maagizo yao

Vikao hivyo vitaanza Dodoma wiki kesho na vitaendelea kwingineko kadri watakavyokuwa wanakutana
Siku hizi mtu anayeitwa Makonda anaouwezo wa kuwaahidi Polisi (wa dar) kuwatafutia silaha nzuri..
Ana pesa za kuwanunulia polisi pikipiki za misafaara ....pia kawaahidi..mazingira bora ya kazi na mikopo ya nyumba
Kwa mtu yeyote anayejua national defence hilo ni..jambo seditious.....
Amiri jeshi wa mkuu mmoja...na vyombo vyote vya ulinzi na usalama...vinapewa...mahitaji kwa...wajibu na hisani ya amiri jeshi mkuu ......
Unaposema unawapa silaha polisi unazitoa wapi ...anajua procedure ya vyombo vya ulinzi kununua silaha ????
Namshangaaa sana..Kapilimba...kulea huu.utoto ..haruhusiiwi mtu yeyote awae kutafuta utiifu kwa chombo chochoten cha ulinzi labda kama...ana mpango wa..kufanya mapinduzi siku moja
Hata waziri wa ulinzi au mambo...ya ndani mara nyingine hajui hata details za...manunuzi ya silaha na magari sembuse....kusema kapewa vifaa na..msamaria ...msamaria...gani.??????

Waziri yuko tu anaaangalia wizara inatukanishwa.
igp...yupo tu anatizama !!!!

Huuu ni..muashirio wa mtu kuwa...na vikundi visivyo rasmi..vya kijeshi ...iko siku atakua anacomand brigade yake mwenyewe.....(kwa kumuaminisha anayemtuma...iko kwa ajili yake)
Je siku akindoka madarakani hataamrisha askari wanaomtiiii yeye wamuingize kwa...nguvu????

Nashangaaa sana
 
Iddi Amin alikuwa na Mtu anayeitwa James MalyaMungu, Iddi amini akichukuia kitu hata kama hajatoa Amri kesho kile kitu kinafutika katika uso wa Dunia, Iddi Amini alikuwa akisema Kiwanuka hafai hata kidogo kesho ataambiwa maiti ya Kiwanuka iko kwenyenjokofu sehemu
MalyaMungu alikuwa anaogopwa kuliko Iddi Amini
Lakini alisahau kitu kimoja kuwa hata yeye angekufa na kuiacha dunia
 
Makonda is the next President of Tanzania! Elimu ya juu haina uhusiano na uwezo halisi wa mtu! Nyerere alikuwa professor?

Sent using Jamii Forums mobile app
Baaaaang, .Hii kitu ndio nikuwa nafikiria ila nina maswali mengi itakuweje?Bado brain inarudisha km ndoto mhanganyiko, ngoja niendelee kuota.
 
Huyo jamaa bado anauwezo wa "kuwaingilia" watu kweli? Si inasemekana raia wanazibua "mtaro"

Mr. PRESIDENT WHERE IS MY NOAH BEFORE I GOT 10 SHOTS.
Uwiii,, wanajifanya mabaunsa huku hawana marinda,,. Halafu eti nikisimama malaika husimama kushoto na kulia kwangu,,malaika hawahawa wa Mungu baba yetu mkuu wa yote waliowatia upofu watoa marinda na wazibuliwa mtaro walipowafuata na kuichoma Sodoma na Gomora,,leo hii waje kusimama nae wakati wanauona mtaro unavyozibuliwa kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 585719
Mh.Makonda akikagua gwaride

Kuna tetesi kuwa mawaziri wanaoingiliwa na Mkuu wa Mkoa Dar kimajukumu wanatarajia kuanzia kesho visivyo rasmi kumjadili. Mawaziri hao wamekuwa wakilalamika Makonda kukwapua majukumu ya wizara kupita kawaida jambo linalowafanya wao waonekane wapumbavu mbele ya Rais.

Wametolea mfano Makonda kumpoka Waziri Mwigulu katika kusimamia na kuamrisha jeshi la polisi mkoa wa Dar.

Tukio la juzi Makonda kuzuia bomoa bomoa imewaumiza sana na kuonekana Waziri wa Ardhi hatimizi wajibu wake. Pia mawaziri hao wamekuwa wazito kuchukua hatua kwa masuala ya Dar es Salaam wakihofia kudhalilika ikiwa Makonda atatengua maagizo yao

Vikao hivyo vitaanza Dodoma wiki kesho na vitaendelea kwingineko kadri watakavyokuwa wanakutana
hao mawaziri watakuwa wapumbavu. si wajiuzuru
 
Back
Top Bottom