Tetesi: Mawaziri wanaoingiliwa majukumu na RC Makonda kuanza vikao kumjadili

Tetesi: Mawaziri wanaoingiliwa majukumu na RC Makonda kuanza vikao kumjadili

hao mawaziri watakuwa wapumbavu. si wajiuzuru
Teh teh, Nitacheka jamaa akienda watandika viboko halafu apande jukwaani na kusema hawafanyi kazi ni vikao vsisvyo vya kikazi wala kwa manufaa ya nchi.Yeye km makonda anataka wachapa kazi na maendeleo tuu.
 
Hahaaa mnaanzisha nyingine? Kafara ya Lissu imegonga mwamba sasa mnaleta nyingine. Kweli Jemadari JPM kiboko. Mnaweweseka tu
 
View attachment 585719
Mh.Makonda akikagua gwaride

Kuna tetesi kuwa mawaziri wanaoingiliwa na Mkuu wa Mkoa Dar kimajukumu wanatarajia kuanzia kesho visivyo rasmi kumjadili. Mawaziri hao wamekuwa wakilalamika Makonda kukwapua majukumu ya wizara kupita kawaida jambo linalowafanya wao waonekane wapumbavu mbele ya Rais.

Wametolea mfano Makonda kumpoka Waziri Mwigulu katika kusimamia na kuamrisha jeshi la polisi mkoa wa Dar.

Tukio la juzi Makonda kuzuia bomoa bomoa imewaumiza sana na kuonekana Waziri wa Ardhi hatimizi wajibu wake. Pia mawaziri hao wamekuwa wazito kuchukua hatua kwa masuala ya Dar es Salaam wakihofia kudhalilika ikiwa Makonda atatengua maagizo yao

Vikao hivyo vitaanza Dodoma wiki kesho na vitaendelea kwingineko kadri watakavyokuwa wanakutana
Hii ni kweli mkuu hata mi hili nimeliona huwa najiuliza sipati jibu..kwa hili wako sawa make jamaa kageuka kuingilia wizara zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi mtu anayeitwa Makonda anaouwezo wa kuwaahidi Polisi (wa dar) kuwatafutia silaha nzuri..
Ana pesa za kuwanunulia polisi pikipiki za misafaara ....pia kawaahidi..mazingira bora ya kazi na mikopo ya nyumba
Kwa mtu yeyote anayejua national defence hilo ni..jambo seditious.....
Amiri jeshi wa mkuu mmoja...na vyombo vyote vya ulinzi na usalama...vinapewa...mahitaji kwa...wajibu na hisani ya amiri jeshi mkuu ......
Unaposema unawapa silaha polisi unazitoa wapi ...anajua procedure ya vyombo vya ulinzi kununua silaha ????
Namshangaaa sana..Kapilimba...kulea huu.utoto ..haruhusiiwi mtu yeyote awae kutafuta utiifu kwa chombo chochoten cha ulinzi labda kama...ana mpango wa..kufanya mapinduzi siku moja
Hata waziri wa ulinzi au mambo...ya ndani mara nyingine hajui hata details za...manunuzi ya silaha na magari sembuse....kusema kapewa vifaa na..msamaria ...msamaria...gani.??????

Waziri yuko tu anaaangalia wizara inatukanishwa.
igp...yupo tu anatizama !!!!

Huuu ni..muashirio wa mtu kuwa...na vikundi visivyo rasmi..vya kijeshi ...iko siku atakua anacomand brigade yake mwenyewe.....(kwa kumuaminisha anayemtuma...iko kwa ajili yake)
Je siku akindoka madarakani hataamrisha askari wanaomtiiii yeye wamuingize kwa...nguvu????

Nashangaaa sana
si hivyo tu akinogewa atatamani nafasi ya bosi ndo mapinduzi hutokea hivyo.

utawala uliofitinika watavurugana wenyewe kwa wenyewe
 
Iddi Amin alikuwa na Mtu anayeitwa James MalyaMungu, Iddi amini akichukuia kitu hata kama hajatoa Amri kesho kile kitu kinafutika katika uso wa Dunia, Iddi Amini alikuwa akisema Kiwanuka hafai hata kidogo kesho ataambiwa maiti ya Kiwanuka iko kwenyenjokofu sehemu
MalyaMungu alikuwa anaogopwa kuliko Iddi Amini
Aliishia wapi maliyamungu aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusubiri tuone yatakayotokea. Niliwaambia wenyewe vichwa vitagongana tu.
 
Back
Top Bottom