Tetesi: Mawaziri wanaoingiliwa majukumu na RC Makonda kuanza vikao kumjadili

Tetesi: Mawaziri wanaoingiliwa majukumu na RC Makonda kuanza vikao kumjadili

Ndivo kanuni zinavowataka ama ni kwenda kinyume na taratibu? Yawezekana Makonda akawa anaharibu taratibu lakini wao kujibu pasipo kufata taratibu pia naona hii itakuwa ni kuujumiana na kuumizana zaidi
 
Hao mawaziri wamwache makonda....wasubiri tu awamu yake iishe ndo waje kumsema lkn kwa sasa Makonda ananguvu kuliko hata PM...kumjadili watapoteza vyeo vyao bure watoto wao wafe njaa.
 
Kuna tangazo nimeliona channel tena anatangaza huku kazunguukwa na wanajeshi wa jeshi letu la JWTZ
 
Tunataka Paka anayekamata Panya sio Rangi ya Paka [HASHTAG]#chapaKaziiii[/HASHTAG]
 
Iddi Amin alikuwa na Mtu anayeitwa James MalyaMungu, Iddi amini akichukuia kitu hata kama hajatoa Amri kesho kile kitu kinafutika katika uso wa Dunia, Iddi Amini alikuwa akisema Kiwanuka hafai hata kidogo kesho ataambiwa maiti ya Kiwanuka iko kwenyenjokofu sehemu
MalyaMungu alikuwa anaogopwa kuliko Iddi Amini
Hivi na wewe ni mzee mpaka unajua ya Idd Amini?? Ila sasa unachoandika si sawa na umri wako!! Jirekebishe mkuu!!
 
Ushauri wangu bora waachie ngazi kuliko kuondoka kwa fedheha na kushikiwa bastola kama Nape. Makonda ni mtoto wa Ikulu, pia anaongoza HIT SQUAD, ana ulinzi kuliko wao.
Wangeanzia hapo kwann ana ulinzi mkubwa kuliko wao
 
Hao mawaziri wamwache makonda....wasubiri tu awamu yake iishe ndo waje kumsema lkn kwa sasa Makonda ananguvu kuliko hata PM...kumjadili watapoteza vyeo vyao bure watoto wao wafe njaa.
Ni kwel watapoteza kama Nape
 
Kama wanazubaa makonda afanyeje?
Makonda angewachapa vipoko hawa jamaa (Hawa mawaziri ambao awamu iliyopita walitesa sana watu na kujidai kuwa wana sifa za urais) hadharani ningefurahi sana kwa muda mfupi.idogo wangeamka akili.
 
View attachment 585719
Mh.Makonda akikagua gwaride

Kuna tetesi kuwa mawaziri wanaoingiliwa na Mkuu wa Mkoa Dar kimajukumu wanatarajia kuanzia kesho visivyo rasmi kumjadili. Mawaziri hao wamekuwa wakilalamika Makonda kukwapua majukumu ya wizara kupita kawaida jambo linalowafanya wao waonekane wapumbavu mbele ya Rais.

Wametolea mfano Makonda kumpoka Waziri Mwigulu katika kusimamia na kuamrisha jeshi la polisi mkoa wa Dar.

Tukio la juzi Makonda kuzuia bomoa bomoa imewaumiza sana na kuonekana Waziri wa Ardhi hatimizi wajibu wake. Pia mawaziri hao wamekuwa wazito kuchukua hatua kwa masuala ya Dar es Salaam wakihofia kudhalilika ikiwa Makonda atatengua maagizo yao

Vikao hivyo vitaanza Dodoma wiki kesho na vitaendelea kwingineko kadri watakavyokuwa wanakutana
Mkuu wa mkoa majukumu yake na mipaka yake ipoje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom