Tetesi: Mawaziri wanaoingiliwa majukumu na RC Makonda kuanza vikao kumjadili

Napenda kufahamu alifariki vipi huyo Maliyamungu
Brigadier Isaac Maliyamungu inasadikiwa alikufa mwaka 1979 katika vita ya kuikomboa Uganda kutoka mikononi mwa dikteta Idi Amin Dada iliyoendeshwa na majeshi ya Tanzania chini ya Jemadari wetu Mkuu Julius Kambarage Nyerere.
 
Bashite ni bimdogo wa mtu.....Wajaribu km hawajaisoma namba
 
Alikuwa Brigedia Isaack Maliyamungu,kabla ya mapinduzi alikuwa korokoroni kwenye kiwanda cha nguo.
Idi Amin Regime's Who's Who: Brigadier Isaac Maliyamungu
 
Mbona za Kimara na Buguruni waliendelea kubomoa bila kujali hata zuio la mahakama kwenye sehemu nyingine.
Ina maana huyo Makonda hakujua kilichokuwa kinaendelea.
 
Napendaga lemutuz anavyomwitaga afu anamalizia na cheko

Ila mange kawachafua sana hadi nimejikuta naanza kuwachukia

blame no body
 
Mara paap ndo raisi akakuteua kuwa waziri wa nishati na madini

blame no body
 
Unataka kufananisha uwezo wa Nyerere na DAB, Nyerere alikuwa na masters degree, ni mtanzania wa kwanza kusoma wingereza

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaona hoja yangu hapo, hoja yangu ni kuwa sometimes kiwango cha juu cha elimu hakihusiani na uwezo halisi wa mtu! Unaweza kukuta mtu ni prof lakini uhalisia wake wa maamuzi ni kama std VII!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya miaka 56 ya uhuru bado vilaza wanaruhusiwa kushika nafasi kubwa Serikalini na kuwa Wabunge! Halafu tunataka tupate maendeleo ya kweli!

Ni afadhani Mhe Makonda anafanya kazi na inaonekana kuliko wale wabunge ambao wapo bungeni na wakati wa mswaada wanasema 'NDIYOOOOO' hata kama kinachopitisha hakina maslahi kwa taifa. Tafadhali mwacheni Makonda afanye kazi, wabunge wa ndiyoooo wamelipa hasara kubwa taifa na hasa katika mswaada ya madini, mafuta, uuzwaji wa mashirika ya umma.
 
Watanzania tungekuwa tunajikita kwenye shughuli za maendeleo kama tunavyopiga umbeya tungekuwa mbali sana. Kizazi cha porojo na majungu mwanzo mwisho. Hasara.

Hizo shughuli utazifanyia wapi, wakati nchi tayari imechafuka? CCM wanaendesha mauaji kwa Watu wasio na hatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…