Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaunda mikono kwa kiasi gani cha fedhakama Membe atakuwepo nitamuunda Mkono
Tusubiri tuonegazeti la Mawio la 27 April limeripoti mpango wa mawaziri wanne wa serikali iliyopita ya JK kuanzisha chama kipya
Teh! Teh! Teh!kama Membe atakuwepo nitamuunda Mkono
ni Keli Mkuu vyama vote vya upinzani viungane na kumsimamisha mgombea mmoja mwenye nguvu na ushawishi mkubwa kwa watanzania kwani hawa viongozi wa upinzani waliopo sasa hawana uwezo wa kushinana na CCM tunamhitaji mgombea mwenye nguvu na hasa akiwa anatoka katika Serikali na CCM hakika atashinda kwani sasa tunahitaji mabadiliko!!!!Wafanye haraka ili branch yao kule visiwani iwe chini ya Maalim Seif, ila ingependeza kama wange merge vyama vyote vyenye ushawishi mkubwa na wajipange sawasawa kwa ushindani wa kweli ili unabii wa Mwalimu ukamilike.