Tetesi: Mawaziri wanne wa Awamu ya Nne kuanzisha Chama cha Siasa

Tetesi: Mawaziri wanne wa Awamu ya Nne kuanzisha Chama cha Siasa

Waunde tu chama chao, waisome namba yao , najua watabakia kula ruzuku tu!
 
Wacha waanzishe ni haki yao kikatiba. Namwomba Nape et al afufue CCJ lazima dereva wa lori asiyetaka kusikiliza abiria wake anyang'anywe leseni
 
Mi nashauri Rais mstaafu Kikwete ahame CCM ajiunge na hao mawaziri waanzishe chama halafu kwenye uchaguzi mkuu wamsimamishe yeye agombee Urais.Au katiba haitamruhushu?Mi naona shida tu awamu hii!
JK AKISIMAMA ATASHINDA TU LABDA SERIKALI HII IJIREKEBISHE.
 
Hivi Mawio ni wadunguzi wa habari? Kila habari wanayoandika huwa haithibitiki! Umbea sio umbea, udaku sio udaku!
 
Back
Top Bottom