Tetesi: Mawaziri wanne wa Awamu ya Nne kuanzisha Chama cha Siasa

Tetesi: Mawaziri wanne wa Awamu ya Nne kuanzisha Chama cha Siasa

Wapiga dili !!! But no impact!! Kama CCM ilishinda vyama vinne haitashindwa kuangusha vyama vitano!!
 
Nilijua wanakuja na plan ya kuiwezesha Tz kutuma space craft angani ifikapo 2030 kumbe ni ushenzi huu
 
Twawezs wamefanya utafiti Na kubaini kuwa wasiosoma ndio wanaipenda CCM
kwa asilimia nyingi Tanzania ina watu wasiosoma na kwa asilimia nyingi CCM inapendwa kwa hivyo usitegemee matokeo tofauti ya utafiti..
Conclusion yao ilitakiwa kusema kuwa CCM inapendwa zaidi hapa nchini.
 
Lolote lile linawazekana.Nitafurahi sana maana ndio kutakuwa na upinzani wa kweli sasa
Unajuaje? Au unafikiri huu nao ulikuwa utabiri wa mwalimu; kwamba upinzani imara utatokana na CCM!
 
Mi nashauri Rais mstaafu Kikwete ahame CCM ajiunge na hao mawaziri waanzishe chama halafu kwenye uchaguzi mkuu wamsimamishe yeye agombee Urais.Au katiba haitamruhushu?Mi naona shida tu awamu hii!
 
Mwacheni Rais Magufuli ajenge uchumi imara Tanzania.
 
CUF ya Maalim waruhusu kufanya reform katiba ya CHadema ili vitu wanavyo ona vinafaa waziingize then wa join pamoja
 
Tuwe makini na haya magazeti kwani mambo yanayoandikwa hayaendi na ukweli bali wanajali biashara zaidi. Kichwa cha habari kina mvuto ili gazeti iuzike.
 
Back
Top Bottom