Tetesi: Mawaziri wanne wa Awamu ya Nne kuanzisha Chama cha Siasa

Ukibanwa, chomoka! Wamesema wanakuja na sera ipi? Wasije wakatuambia kuwa CCM ni mbaya. Nitapaaza sauti yangu kuwapinga vikali!
 
Wafanye haraka ili branch yao kule visiwani iwe chini ya Maalim Seif, ila ingependeza kama wange merge vyama vyote vyenye ushawishi mkubwa na wajipange sawasawa kwa ushindani wa kweli ili unabii wa Mwalimu ukamilike.
 
ni Keli Mkuu vyama vote vya upinzani viungane na kumsimamisha mgombea mmoja mwenye nguvu na ushawishi mkubwa kwa watanzania kwani hawa viongozi wa upinzani waliopo sasa hawana uwezo wa kushinana na CCM tunamhitaji mgombea mwenye nguvu na hasa akiwa anatoka katika Serikali na CCM hakika atashinda kwani sasa tunahitaji mabadiliko!!!!
 
Kesho MAWIO wataitwa MAELEZO kwenda kujieleza kwanini wasifungiwe kwa uchochezi kutokana na habari yao hii.
Subirini muone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…