Y Yangkuku Member Joined Apr 21, 2017 Posts 52 Reaction score 63 Apr 28, 2017 #61 Waunde tu chama chao, waisome namba yao , najua watabakia kula ruzuku tu!
Tulimumu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2013 Posts 14,409 Reaction score 13,262 Apr 28, 2017 #62 Wacha waanzishe ni haki yao kikatiba. Namwomba Nape et al afufue CCJ lazima dereva wa lori asiyetaka kusikiliza abiria wake anyang'anywe leseni
Wacha waanzishe ni haki yao kikatiba. Namwomba Nape et al afufue CCJ lazima dereva wa lori asiyetaka kusikiliza abiria wake anyang'anywe leseni
IFUNYA JF-Expert Member Joined Nov 18, 2011 Posts 363 Reaction score 131 Apr 28, 2017 #63 shaks001 said: Mi nashauri Rais mstaafu Kikwete ahame CCM ajiunge na hao mawaziri waanzishe chama halafu kwenye uchaguzi mkuu wamsimamishe yeye agombee Urais.Au katiba haitamruhushu?Mi naona shida tu awamu hii! Click to expand... JK AKISIMAMA ATASHINDA TU LABDA SERIKALI HII IJIREKEBISHE.
shaks001 said: Mi nashauri Rais mstaafu Kikwete ahame CCM ajiunge na hao mawaziri waanzishe chama halafu kwenye uchaguzi mkuu wamsimamishe yeye agombee Urais.Au katiba haitamruhushu?Mi naona shida tu awamu hii! Click to expand... JK AKISIMAMA ATASHINDA TU LABDA SERIKALI HII IJIREKEBISHE.
MTK JF-Expert Member Joined Apr 19, 2012 Posts 8,924 Reaction score 6,854 Apr 28, 2017 #64 Hivi Mawio ni wadunguzi wa habari? Kila habari wanayoandika huwa haithibitiki! Umbea sio umbea, udaku sio udaku!
Hivi Mawio ni wadunguzi wa habari? Kila habari wanayoandika huwa haithibitiki! Umbea sio umbea, udaku sio udaku!
N NKULIKWA JICKSON Member Joined Apr 14, 2017 Posts 40 Reaction score 3 Apr 28, 2017 #65 Tanzania siasa bado sana?