Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
1. Mambo yatakuwa mazuri, kama anavyosema Sasa hivi. Lakini Hali hiyo itadumu kwa miezi 10 tu.
2. Baada ya mwaka 1, vyama vingine (demokrasia) vitaanza kubinywa.......vitaanza kulalamika.
3. Baada ya miaka mitatu, mijadala ya kubadilishwa katiba na kikomo Cha uraisi itaanza bungeni (kama kawa, itasimamiwa na manyumbu kadhaa). Malalamiko yatakuwa mengi lakini walalamikaji watabinywa sawasawa na vyombo kwa amri ya bwana Lissu.
4. Baada ya miaka mitano, yaani 2060, jambo la kufuta ukomo wa uraisi litafanikiwa na hivyo bwana Lissu atakuwa Raisi wa kudumu Hadi 2090 atakapotolewa na wananchi.
Nawasilisha.