Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Ok. Una maanisha kina heche?!!! Maana wao wanajua mambo yote ya serikali........hakuna wasichokiongelea, mpaka familia ya Samia wanajua kuliko anavyoijua mwenyewe.Mjinga ana Majibu ya kila kitu.
Mapema sana umeanza kuweweseka! Na atakuja kuwa Rais kweli. Maana yule Mwamba hajawahi kushindwa kwenye vita vyake vyote alivyowahi kupigana! Mimi nina kadi ya ccm, lakini linapokuja suala la uzalendo, sijawahi kujificha humu jukwaani.1. Mambo yatakuwa mazuri, kama anavyosema Sasa hivi. Lakini Hali hiyo itadumu kwa miezi 10 tu.
2. Baada ya mwaka 1, vyama vingine (demokrasia) vitaanza kubinywa.......vitaanza kulalamika.
3. Baada ya miaka mitatu, mijadala ya kubadilishwa katiba na kikomo Cha uraisi itaanza bungeni (kama kawa, itasimamiwa na manyumbu kadhaa). Malalamiko yatakuwa mengi lakini walalamikaji watabinywa sawasawa na vyombo kwa amri ya bwana Lissu.
4. Baada ya miaka mitano, yaani 2060, jambo la kufuta ukomo wa uraisi litafanikiwa na hivyo bwana Lissu atakuwa Raisi wa kudumu Hadi 2090 atakapotolewa na wananchi.
Nawasilisha.
Alaa, kumbe huko kwenu ndo mwenye akili yeye kuliko wote mliobaki?!!! Vizuri, basi subirini 2055 sio mbali kiviiiile.Mapema sana umeanza kuweweseka! Na atakuja kuwa Rais kweli. Maana yule Mwamba hajawahi kushindwa kwenye vita vyake vyote alivyowahi kupigana! Mimi nina kadi ya ccm, lakini linapokuja suala la uzalendo, sijawahi kujificha humu jukwaani.
Sema tu hujaitaja na Zanzibar. Atakapoingia madarakani watatakiwa kukubaliana na muungano wa serikali 1 au 3! Hakutakuwepo tena na muungano wa kikupe wa changu changu, chako changu!
Fundi kujenga wewe, mchanganya cement wewe , tofali ubebe mwenyewe.... Huu uliofanya hapa ni uganga wa kale sana.Ok. Una maanisha kina heche?!!! Maana wao wanajua mambo yote ya serikali........hakuna wasichokiongelea, mpaka familia ya Samia wanajua kuliko anavyoijua mwenyewe.