sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Kwanza mimi huwa najiulizaga, hivi mawazo yanatoka wapi? Inakuaje unatokea kuwaza tu mfano unawaza ngoja niandike uzi.
Japo sijapata jibu lakini naamini mawazo/thought are social influenced thing, mazingira yanayotuzunguuka ndo yana determine sana kile kinacho kua generated akilini, how are they generated and where? I don't know.