Mawazo ya biashara

Biashara ya bia usipange hakikisha unapata eneo lako kwasasa inasumbua japo inategeme na location fanya utafiti kwanza na kuandika andiko la biashara , (business plan), fanya makosa kwenye makaratasi
 
Hiyo ni biashara kichaa
kuna mdau kapendekeza restaurant ndiyo maana nimemwambia ni biashara nzuri ila unatakiwa uwepo na inahitaji mtaji wa kawaida inategemea eneo, (location), hapa morogoro kuna mfanya biashara hajawahi kufunga milango ya biashasha yake inafanya masaa 24 ina miaka zaidi ya 7 pale msamvu
 
 
Hiyo biashara ya mgahawa ina upepo wake haina tofauti sana na biashara ya bar
 
KAM uko serious nitafute nikupe draft ya biashara ya pharmacy.
 
Huu mtaji unatosha kuanzisha kiwanda cha kati au kidogo.

Fungua Kiwanda cha utengenezaji wa juisi ya miwa. Hiki ni kinywaji pendwa sana maeneo mengi ya miji ikiwepo Dar, however so far it is locally produced and sold.

Ajiri watu sahihi (eg. Food scientist and nutritionist)

Wekeza katika matangazo, utapiga ndefu sana kwa hii biashara.View attachment 2667316
 
Hiyo biashara ya mgahawa ina upepo wake haina tofauti sana na biashara ya bar
Hata hivyo ukitaka kufanya biasahara yoyote ile nilazima uijue hiyo biashara kwa undani kufanya utafiti wa soko nakuwatambua wapinzani wako nguvu zao na mapungu yao, baada ya hilo jipambanue mwenyewe nguvu zako na mapungufu yako pia unatakiwa uwe na tabia za mjasiriamali kama huna hata moja huwezi kufanikiwa kufanya biashara yoyote ile
 
inakuwaje hii business ndugu yangu nipe abc labda naweza jikita huku
nenda pale Muhimbili tafuta graduators mmoja wa pharmacy siku ya mahafali fanya nae biashara atakupa abc zote au tafuta mfamasia yoyote ambaye ana degree na vyeti vyake havija-be booked
 
Fungua microfinance kwa wajasiriamali wadogowadogo,au iweke kwenye bureau de change zimesharuhusiwa tena,kazi kwako,money business pays
Bora bureau de change kukopesha inabid ni biashara pasua kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…