Mawazo ya kutoka kimaisha kwa mtaji mdogo

Mawazo ya kutoka kimaisha kwa mtaji mdogo

Siwezi kuanzisha biashara chini ya mtaji wa mil 10
Kama nataka kuwa tajiri mkubwa.


Kama nina 50k nitanunua ujuzi biashara ambayo haina hasara.

“Biggest investment is to invest in your head”
 
Yeah lkn mtaji wa spea za toyo hata milioni 5 unaweza ukaanza nayo,na usifungue mjini,nenda bush na hakikisha unaweka na madogo mafundi hata wawili hapo! Nakuhakikishia baada ya mwaka unakuwa mtu mwingine kabisaa!! Nimeshuhudia hili kwa mwanangu,na nitaingia huko hakika
Mi nilianza na mtaji milioni 4 tu lkn ss hv mtaji Ni M12+
 
Nyanya unalima hata eneo dogo nyumbani kwako hata eneo la chumba kimoja tu tena kwenye ndoo na zipo mbegu unachuma hadi mwaka mzima, kisha tengeneza tomatoes source, utapata pesa zaidi ya aliyelima heka 10 kwa kuuza tomatoes source.
huu Sasa ni utani unazijua heka 10 za nyanya au umeongea kunogesha kijiwe
 
Nmewai lima nyanya miaka fulani Heka 10 ni shamba kubwa sana kwa nyanya na kuhudumia ni pesa nyingi sana. Huyu anaesema anza na eka 10 sizani kama anazijua nyanya vizuri

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kwa ninapo kaa kifuku heka 1 ni millioni mbili kuhudumia na unaweza vuna hata million 15 Sasa Kwa heka kumi hii ni zaidi ya biashara nyingi tu.
 
Namba 15 ndo nipo nayo mda huu hela ya vocha na matumizi madogo madogo inapatikana hata kodi ikipungua tunafidi kupitia hiyo mishe it's a good business mimi sipendi biashara zenye stress mda huo haujafika kwangu bado.
Mkuu nina hili wazo pia naomba unifafanulie kidogo hasa juu ya upatikanaji wa mafuta

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nina hili wazo pia naomba unifafanulie kidogo kuusu bei za materials yake na upatikanaji wa faida nipo Arusha na sijapata bado dealer wa mafuta ya mawese na mise kwa kua we unafanya hii mishe naomba maujuzi. Kuusu kutengeneza sabuni za mche elimu ninayo teyar




Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Namba 43,duuh!! Michongo ni mingi sana,halafu mingine wala haihitaji mitaji mikubwa kiivo kawaida tu! Tatizo tunalalamika sana lkn we dont dare!! Me binafsi nimejilipua kulima nyanya na kufuga ma pig! January najilipua kufuga samaki na kuku! tutafika tu daadeki
Jamaa umewaza madini kabisaa, hyo issue hakika naikubali sana kilimo+ufugaji
 
Back
Top Bottom