Mawazo ya kutoka kimaisha kwa mtaji mdogo

Siwezi kuanzisha biashara chini ya mtaji wa mil 10
Kama nataka kuwa tajiri mkubwa.


Kama nina 50k nitanunua ujuzi biashara ambayo haina hasara.

“Biggest investment is to invest in your head”
 
Mi nilianza na mtaji milioni 4 tu lkn ss hv mtaji Ni M12+
 
Nyanya unalima hata eneo dogo nyumbani kwako hata eneo la chumba kimoja tu tena kwenye ndoo na zipo mbegu unachuma hadi mwaka mzima, kisha tengeneza tomatoes source, utapata pesa zaidi ya aliyelima heka 10 kwa kuuza tomatoes source.
huu Sasa ni utani unazijua heka 10 za nyanya au umeongea kunogesha kijiwe
 
Nmewai lima nyanya miaka fulani Heka 10 ni shamba kubwa sana kwa nyanya na kuhudumia ni pesa nyingi sana. Huyu anaesema anza na eka 10 sizani kama anazijua nyanya vizuri

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kwa ninapo kaa kifuku heka 1 ni millioni mbili kuhudumia na unaweza vuna hata million 15 Sasa Kwa heka kumi hii ni zaidi ya biashara nyingi tu.
 
Namba 15 ndo nipo nayo mda huu hela ya vocha na matumizi madogo madogo inapatikana hata kodi ikipungua tunafidi kupitia hiyo mishe it's a good business mimi sipendi biashara zenye stress mda huo haujafika kwangu bado.
Mkuu nina hili wazo pia naomba unifafanulie kidogo hasa juu ya upatikanaji wa mafuta

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
 
Jamaa umewaza madini kabisaa, hyo issue hakika naikubali sana kilimo+ufugaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…