Mawazo yanahitajika kuhusu Uncle kulala na mtoto chumba kimoja

Hii pia iko vizuri.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Laleni na mtoto wenu..ndugu wa sikuhizi nyoka
 
Mtoto wa miaka mitano unashindwa kulala nae chumbani kwako na mkeo?! Mbona anaweza kulala na ninyi wakati mgeni kaja??

Angekuwa mgeni wa kike unaweza waacha walale ila ni wa kiume analalaje na mtoto. Aiseeee nyie wazazi wa kizazi hiki mnachangamoto sana.
 
Hakukua hata na haja ya kumpeleka lodge. Angelala chumbani kwa mtoto ninyi mngelala na mtoto bila shida hata kama angekaa mwaka mzima. Mtoto ni mdogo sana huyo kulala pekee yake. Mtoto labda akivuka miaka 7 hapo sawa. Ila umri huo analala fresh tu na wazazi.
 
Nasimama na wee hapa, hakikaa una busara sana, ubarikiwe.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kwa sote mkuu,nimeumia sana na maamuzi ya mtoa mada,watanzania wengi hatujui namna bora za kusolve ishu za kijamii,tunachojua sisi ni kusolve tu kwa njia yoyote,hili ni tatizo kubwa.

Jua roho ya mtu katika hali mbili.

1.akifanikiwa(akipata maisha mazuri)
2.akijiwa na mgeni.
 
Sio rahisi kua yeye ndie alieanza kumshawishi huyo ndugu yake, maana kipindi hicho anadai yeye alikua darasa la tano halafu huyo ndugu yake yupo form 1.
Halafu kingine wazazi wanakosea sana kuwalea watoto wa kiume kimayai mayai.
 
Sio rahisi kua yeye ndie alieanza kumshawishi huyo ndugu yake, maana kipindi hicho anadai yeye alikua darasa la tano halafu huyo ndugu yake yupo form 1.
Halafu kingine wazazi wanakosea sana kuwalea watoto wa kiume kimayai mayai.
Sasa unakataa nn? Iv mtoto sio mzoefu angeweza kukufanya wee km mumeo hapo shule? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwa maelezo yako huyo mtoto tangu akiwa mdogo alikua na internet za gaysm, ila hakupata partner,. Ndo alivokuja huyo ndugu yake akaamua amshawishi.

Drs la 5 hoja? Mtu yko drs la 3 analazimisha binamu yake wa 4m 4 amuingilie, na hapo hawalali room 1, bila akili ya yule binamu tayar dogo angeliwa drs la 3 tyuuh, huyo dogo alikua na interest za ushoga tang mdogo kabisaa ila binamu yake ndo alitokea kumuelewa, sasa unadhan nn hapa? Kuna mengi sana ktk gaysm tatzo huwa hamtaki kufuatilia khaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Haswaaaaah yaan.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Ndugu nadhani binafsi nimekuelewa sana...umegusa pande zote na uzuri umegusia option mbalimbali ya ku solve changamoto. kama kuna mpingaji sidhani kama atakuwa na hoja kinzani yenye mashiko...Endelea kuelimisha...Mwenye masikio na asikie na mwenye macho aone.
 
Wa mjini hawa utawaweza? Mambo hayo kijijini

Corrupted minds.

Yaani tunakoelekea hata kutembeleana itakuwa mwiko,,,sijui watoto watakuwa mazingira gani....hakuna kutembelea tu ndugu,, wataonana siku ya Msiba tu hehehhe...

tunakiandaa Kizazi cha hovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…