Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,986
- 5,058
Ukija Kuta amelawitiwa ndio utakuwa na akili.Habari ya leo.
Miezi kama 3 iliyopita alinitembelea shemeji yangu wa kiume (miaka zaidi ya 30) na alilala chumba cha watoto. Ikumbuke Nina Binti/mtoto wa kike miaka 5, wakati huo niliongea na mama watoto kuwa next time sitaki kuweka utu wa mtoto wangu rehani kwa watu wanaojiita "uncle"
Leo tena "uncle" kaja kwa mishe zake lakn bila ya kutoa taarifa, ninvyoona jamaa atalala hapa nyumbani. Sina chumba Cha wageni zaidi ya familia yangu tu
WANDUGU:
Nafikiria kumtafutia lodge akalale kuliko kulala na Binti yangu chumba kimoja maana Dunia imewekwa rehani. Nipo sahihi au inakuwaje?
Walaze wanao chumbani kwako kama unaona unamhurumia Sana huyo shemeji yako.
Vinginevyo kamlipie gesti alale huko.
Aje kula nyumbani.
Atajiongeza