Mawazo yanahitajika kuhusu Uncle kulala na mtoto chumba kimoja

Mawazo yanahitajika kuhusu Uncle kulala na mtoto chumba kimoja

Ila we jamaa kuna siku familia itakushinda. Kitu kidogo hivi unaongea kwa hofu?
Au huna sauti kwa mkeo, au mkeo ndio analipa bills za familia, kiufupi nakuona hujiamini kabisa.
Swala kama hilo wala jalikuwa na mjadala maana huna pa kimlaza.

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Aiseeee ulifanya kosa kubwa sana kumlaza mwanao na "ANKO SHAMTE" ,usirudie tena!!
 
Hoja yangu kwa nini usilale na mwanao huyo mgeni akalala peke yake

Au ungelala nae wewe kisha mtoto angelala na mkeo(mama yake) hii pia ulikuwa unaogopa kalawitiwa na shemeji yako ?

Hoja kuntu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We diplomasia unaijua? Imekusaidia kwenye nini? Hiyo ni diplomasia au ni uoga mbele ya macho ya watu watakuonaje?

Hivi unahisi unafanya sahihi kumpangia mtu utaratibu wa kuishi kwenye nyumba yake? maadili ya mtoto yapo kwenye mikono ya wazazi, unajua hakuna kitu kibaya kama mtoto tena wa miaka mitano alale na wazazi.

Yaani option ulioichukua ni mbovu bora hata mwenzako kafanya uamuzi wa kumpeleka Lodge uncle, watoto wakizazi hichi wananasa mambo kwa haraka sana wewe unashauri unampoteza.

Hivi unajua kwasisi wanaume asubuhi ukiamka ni lazima mashine huwa inasimama sasa unataka na na mwanao aone maungo yako maana kuna kujisahau, nyie watu sijui mpoje kulaumu pasipo kuwa na maamuzi ya busara
Hoja ya pili ni alale na uncle af mtoto alale na mama
 
Sawa mkuu kama unaona hivyo kila mtu na maoni yake.

Ila mimi kwa ndugu zangu wote wanaokuja kwangu hakuna ambae anakuja kwa ajili ya kutaka kusettle moja kwa moja,do najua ni jambo la siku moja tu au mbili.

Ila huyu jamaa anko wake naye inaonesha ana mishe zake so kaja kww muda tu hapo,
Unajua watu tunatofautiana na pia hii ni mitandao tu, ukipatia picha kiuhalisia kaka yangu tumbo moja kabisa na tuliyoyapitia siwezi mfanyia hivyo, wengi humu ni maneno maana ni mitandaoni tu, option ulizotoa ndo bora zaidi, lazima usalama uwepo na mahusiano yaendelee
 
Uko sahihi.
Mtu mzima tena wa kiume kulala na watoto iwe wa kike au wa kiume,,sio jambo zuri,,

Lakin pia njia iliotumika kutatua tatizo kama ulivoeleza sio njia ya busara,,

Wangelala na mtoto chumbani ,,mgenini akalala peke yake kwenye chumba cha watoto_ a very simple solution

Mtoa maada ametumia nguvu kubwa saana kutatua tatizo dogo

Mtoa maada anaweza kua kweli ameshinda lakini hebu ajalibu kuvaa viatu vya mgeni wake,,kama angekuwa yeye angehisije tena unaambiwa kabisa kuwa "uenaenda kulala gest kwa sababu sikuamini kulala na watoto wangu,,"

Lazima kama mtu mzima ujisikie vibaya.
Wanaobisha wanabisha tu kwa kuwa wako mitandaoni, na mtoa mada kajiona jasiri kwa kuwa kamdanyia hivyo mgeni aliemzidi kila kitu, mgeni angekuwa kamzidi mtoa mada kitu, akili yake ingesolve tatizo kibusara zaidi, sometimes unaweza fanya maamuzi bila kufikiria na adhabu ikakurudia vibaya mno
 
zabron k siku nyingine uwe unatumia akili kabisa usiwe hopeless. Yani first time mjomba alilala chumba cha mtoto nawe baba upo unachekelea? Usirudie uzembe wa kipuuzi namna hiyo, huwa mnakuja jutia baadaee na kulaumiwa na watoto.

1. Kwanini hukumtimua. Anakuja bila taarifa kwako ni kituo cha polisi?
2. Kwanini hukumchukua mtoto mkalala naye chumba kimoja. Unajifanya we na mkeo mna nyege sana mpaka mnaweka rehani usalama wa mtoto.
3. Kwanini hakukala nyumba za wageni siku ya kwanza.

Yani nimekasirika. Kulea mtoto ni pamoja na kumlinda, sio tu kumlisha michembe na maparachichi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umeongea kwa hisia kwelikweli
 
Kama unajua mtu hana chumba cha ziada unamtembelea mchana na unasepa. Tujaribu kuiga wazungu, kwanza unatoa ripoti nami nikujibu njoo au hapana. Kwa mwafrika unaogopa kusema hapana! Hakika ukarimu utatugarimu. Hata kama nina chumba cha ziada, wewe nijulishe huenda chumba nina kazi nacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
. Kwanini hukumtimua. Anakuja bila taarifa kwako ni kituo cha polisi?
2. Kwanini hukumchukua mtoto mkalala naye chumba kimoja. Unajifanya we na mkeo mna nyege sana mpaka mnaweka rehani usalama wa mtoto.
3. Kwanini hakukala nyumba za wageni siku ya kwanza.
Namba 1 inaonyesha jinsi binadamu wa sasa tulivyo kubuhu kwa roho mbaya.

Waafrika hatuna utamaduni huo brother and no wonder wazazi wakifarika hata kama walikuwa na uwezo mkubwa kiuchumi watoto wanaobaki wanakuwa machokoraa na hali mbaya sana .

Yote hayo yanasababishwa na expression ya point no 1 hapo juu
 
Yani hatua za kulinda mtoto wangu unambie nina roho mbaya?
Siwezi kuwa na chumba kimoja cha mwanangu mdogo vile mtu akaleta matako yake nikamruhusu alale nae humo. Huo upumbavu sifanyi, kama wewe unaweza kuwa na roho nzuri beba hata wavuta bangi walalahoi wa mjini walaze chumba cha mwanao. Dunia imeharibika wewe endelea kuishi maisha ya babu zako badala ya uhalisia wa sasa.

Nikuulize. Kwahiyo unaweza enda kwa ndugu yako akakulaza chumba na mtoto mdogo wa kike ukakubali, ukarudi tena siku nyingine?
 
Namba 1 inaonyesha jinsi binadamu wa sasa tulivyo kubuhu kwa roho mbaya.

Waafrika hatuna utamaduni huo brother and no wonder wazazi wakifarika hata kama walikuwa na uwezo mkubwa kiuchumi watoto wanaobaki wanakuwa machokoraa na hali mbaya sana .

Yote hayo yanasababishwa na expression ya point no 1 hapo juu
Nina wasiwasi na uelewa wako. Wazazi kuwa na hela na kulinda watoto wao dhidi ya possible threats kunawafanya watoto wawe chokoraa wazazi wakifa?

Utasubiri mpaka miguu iingie tumboni. Hakuna mtoto wa tajiri atakuwa chokoraa kisa umetimuliwa nyumbani kwao. Kwanza hao watoto unaosema watu wenye akili kama zako ndio mnaiba na kuharibu mali za wazazi wao. Labda nisijue kama wageni siku hizi wanakuja na kinga dhidi ya uchokoraa kwa watoto
 
Back
Top Bottom