chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Wewe jamaa noma yani uliona kulipo ulale na binti yako bora alale na anko? Najua ulipitiwa usirudie tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ligazeti lote hili kumbe unamtetea mvamia nyumba za watu kama wewe [emoji23]Wanaadamu mnakosea sana ku approach ishu kama hizi,hamuna diplomacy katika kusolve ishu zenu.
Kumbuka kutumia diplomacy kusolve matatizo kunawafanya muendelee kuwa wamoja,unaposhindwa kutumia diplomacy katika ishu kama hizo watu wanatone roho mbaya kwako na kuna siku itakutokea puani.
Kwanza kumlaza mgeni nje ya nyumba ni tabia mbovu sana na ni utovu wa adabu ni sawa mgeni aje alafu wewe ukamuombee chakula kwa jirani huku akiona.
Ustaarabu ni mgeni kumuachia nyumba alale nyie mtajua mnalala wapi,silazimishi kukubali ustaarabu huu.
Nakumbuka kuna mwaka nilienda kwa ndugu zangu pale mbagala wana chumba na ukumbi,walichofanya waliniachia chumba nikalala wao sijui walilala wapi asubuhi mapema nimewakuta wanaendelea na mambo mengine mimi nikaamsha nililala siku moja tu,hii ndio ustaarabu.
Nyie binadamu wengine sijui mumekulia wapi,mna roho za ajabu sana aisee.
Sijui ulishindwa nini kulala na mtoto wenu kisha mgeni akalala peke yake,sio ustaarabu huu.
Na namna ulivyokuwa na roho mbaya ukamuambia kabisa ati dunia imejaribika,maana yake umemuonesha kwamba humuamini.
Na sio k2amba humuamini kulala na binti yake tu bali hata kulala hapo nyumbani bila binti asilale ukaenda kumtupa huko gesti,angezidiwa usiku ?,angekabwa ?
Sio ustaarabu mkuu,ningekuwa mimi ndio anko hiyo lodge nalipa mimi mwenyewe maana umefanya ubwege sana.
Siku zote tumia diplomacy kusolve matatizo utaishi vizuri na jamii hata ndugu zako pia.
Watasononeka watu kama nyie mliolelewa kwwnye roho mbaya bila shaka.kulala siku moja kwa mtu aliyestaarabika sio ishu.Ulivyokosa haya mtu mzima wewe unajisifia kabisa ulienda kwa Watu wana chumba na Ukumbi wakakupisha hukujua walienda kulala wapi, unajua jinsi gani walisononeka kuacha kitanda chao na kwenda kulala pasipojulikana??
Wao ndio walianza kuonesha uungwana kwangu.Kama wewe muungwana mbona hukuwaambia ulale hapo ukumbini au mbona hukulipia lodge???
Ni roho mbaya tu hakuna nyumba wala nini,sisi tuliokulia kwenye familia zenye upendo tunajua thamani ya mgeniMitabia yako ya kishenzi unaileta hadi kwa familia za watu eti diplomasia, diplomasia ni kwenda kuwabana watu katika nyumba zao???
Huu upuuzi sifanyi,nitafikia kwa ndugu wenye upendo na nitaachiwa chumba nilale peke yangu,huu ndio ustaarabu.Mjirekebishe, Dunia imebadilika kama una mishe zako tafuta lodge kabisa,
Ningekuwa na ndugu mwenye roho ngumu kama wewe ndio ningekuwa naenda kusalimia na kuondoka,pengine hata kuja kwako nisingekuja maana usingenipa hata huo ugali ungelionna nimekumalizia bajeti.huko kwa ndugu waenda kusalimia tu na kuondoka
Nyie nndio mnamnyima mgeni chakula kwa kisingizio hakutoa taarifa,mnadhani kama taarifa yake inakuja na chakula.mishe zako zisiwape wengine heka heka za nafsi.
kwani kulikuwa na ugumu gani we kumchukua bint yako kumwachia chumba mgeniMzee wa diplomacy una miaka mingapi?
Umewahi kusikia "uncle" akipewa lawama kulawiti mtoto?
Utajisikiaje unapojua Binti yako wameshatoboa tundu kimasihara wakati umri bado mdogo?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Yaani mimi hata kumlaza na mwanangu wa kiume naogopa sembuse huyo wa kike!!! Akalale Lodge tu huyo mgeni. Dunia imeharibika mno.Habari ya leo.
Miezi kama 3 iliyopita alinitembelea shemeji yangu wa kiume (miaka zaidi ya 30) na alilala chumba cha watoto. Ikumbuke Nina Binti/mtoto wa kike miaka 5, wakati huo niliongea na mama watoto kuwa next time sitaki kuweka utu wa mtoto wangu rehani kwa watu wanaojiita "uncle"
Leo tena "uncle" kaja kwa mishe zake lakn bila ya kutoa taarifa, ninvyoona jamaa atalala hapa nyumbani. Sina chumba Cha wageni zaidi ya familia yangu tu
WANDUGU:
Nafikiria kumtafutia lodge akalale kuliko kulala na Binti yangu chumba kimoja maana Dunia imewekwa rehani. Nipo sahihi au inakuwaje?
Mpeleke Lodge af alipe mwenyew, mtu unaendaje kwa mtu mwingine bila taarifa mbaya zaid kulala[emoji850]Habari ya leo.
Miezi kama 3 iliyopita alinitembelea shemeji yangu wa kiume (miaka zaidi ya 30) na alilala chumba cha watoto. Ikumbuke Nina Binti/mtoto wa kike miaka 5, wakati huo niliongea na mama watoto kuwa next time sitaki kuweka utu wa mtoto wangu rehani kwa watu wanaojiita "uncle"
Leo tena "uncle" kaja kwa mishe zake lakn bila ya kutoa taarifa, ninvyoona jamaa atalala hapa nyumbani. Sina chumba Cha wageni zaidi ya familia yangu tu
WANDUGU:
Nafikiria kumtafutia lodge akalale kuliko kulala na Binti yangu chumba kimoja maana Dunia imewekwa rehani. Nipo sahihi au inakuwaje?
Jamaa ana roho mbaya tu,option zote hakuziona akaona amtimue mgenikwani kulikuwa na ugumu gani we kumchukua bint yako kumwachia chumba mgeni
Uko sahihi sana,ila dah kumbe tuko wengi,mtoto kike anauma aisee,yani we acha tu...Habari ya leo.
Miezi kama 3 iliyopita alinitembelea shemeji yangu wa kiume (miaka zaidi ya 30) na alilala chumba cha watoto. Ikumbuke Nina Binti/mtoto wa kike miaka 5, wakati huo niliongea na mama watoto kuwa next time sitaki kuweka utu wa mtoto wangu rehani kwa watu wanaojiita "uncle"
Leo tena "uncle" kaja kwa mishe zake lakn bila ya kutoa taarifa, ninvyoona jamaa atalala hapa nyumbani. Sina chumba Cha wageni zaidi ya familia yangu tu
WANDUGU:
Nafikiria kumtafutia lodge akalale kuliko kulala na Binti yangu chumba kimoja maana Dunia imewekwa rehani. Nipo sahihi au inakuwaje?
Wanaadamu mnakosea sana ku approach ishu kama hizi,hamuna diplomacy katika kusolve ishu zenu.
Kumbuka kutumia diplomacy kusolve matatizo kunawafanya muendelee kuwa wamoja,unaposhindwa kutumia diplomacy katika ishu kama hizo watu wanatone roho mbaya kwako na kuna siku itakutokea puani.
Kwanza kumlaza mgeni nje ya nyumba ni tabia mbovu sana na ni utovu wa adabu ni sawa mgeni aje alafu wewe ukamuombee chakula kwa jirani huku akiona.
Ustaarabu ni mgeni kumuachia nyumba alale nyie mtajua mnalala wapi,silazimishi kukubali ustaarabu huu.
Nakumbuka kuna mwaka nilienda kwa ndugu zangu pale mbagala wana chumba na ukumbi,walichofanya waliniachia chumba nikalala wao sijui walilala wapi asubuhi mapema nimewakuta wanaendelea na mambo mengine mimi nikaamsha nililala siku moja tu,hii ndio ustaarabu.
Nyie binadamu wengine sijui mumekulia wapi,mna roho za ajabu sana aisee.
Sijui ulishindwa nini kulala na mtoto wenu kisha mgeni akalala peke yake,sio ustaarabu huu.
Na namna ulivyokuwa na roho mbaya ukamuambia kabisa ati dunia imejaribika,maana yake umemuonesha kwamba humuamini.
Na sio k2amba humuamini kulala na binti yake tu bali hata kulala hapo nyumbani bila binti asilale ukaenda kumtupa huko gesti,angezidiwa usiku ?,angekabwa ?
Sio ustaarabu mkuu,ningekuwa mimi ndio anko hiyo lodge nalipa mimi mwenyewe maana umefanya ubwege sana.
Siku zote tumia diplomacy kusolve matatizo utaishi vizuri na jamii hata ndugu zako pia.
Hayo ndio maisha tuliyolelewa sisi.Umetembelea mtu ana chumba na sebule
Umelala chumbani comfortable na usingizi umepata.....
Hujui hata wenye nyumba wamelala wapi?
Una shida wewe!!
Hayo ndio maisha tuliyolelewa sisi.
Mgeni akija anakaa siku moja unampisha wewe utalala hata ukumbini lakini mgeni astarehe vizuri.
Nyie wageni wakija ndio mnawatesa,malezi ya ajabu haya
Na Yesu.Alafu ukifa atalala na nani?
Watu wenye roho mbaya wanaona mgeni akilala kwao atafaidi na kudhani kama ataondoka na nyumba.Ajabu ni mtu mzima unapotoa miguu yako kwa mtu mwenye chumba na sebule........
Miaka hii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpeleke hospitali akalale kwenye mabenchi
Moto vipi?Mchukueni mtoto mlale nae chumbani kwenu, ikiwa hamuwezi kufanya hivyo basi ingia gharama kamlipie jamaa lodge alale huko.
Hii ni option nzuri sana.Mkuu ungemlaza sebuleni tu...either Mtoto alale sebuleni au Mgeni alale sebuleni...