Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Hongera kwa kufanya maamuzi sahihi
Nalog off
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haa haaaaShemeji hali vipi?
Kesho ninakuja ugeni kwako.[emoji846]
Alaa sawaHana vyumba vya kutosha, makosa ya kiuandishi!
Ndio kama nilivyoeleza.We diplomasia unaijua?
Acha mipasho japokuwa sijui jinsia yako.Imekusaidia kwenye nini?
Hiyo ni diplomasia ndugu yangu,achana na mawazo potofu kwamba ni uoga.Hiyo ni diplomasia au ni uoga mbele ya macho ya watu watakuonaje?
Hapa hakuna aliyempangia mtu bali huu ni ushauri tunaoutoa baada ya yeye kuomba ushauri hapa jamvini.Hivi unahisi unafanya sahihi kumpangia mtu utaratibu wa kuishi kwenye nyumba yake?
Nani anabisha sasa ?maadili ya mtoto yapo kwenye mikono ya wazazi,
Je akilala na mama yake pia vibaya ?unajua hakuna kitu kibaya kama mtoto tena wa miaka mitano alale na wazazi,
Sio lazima kwa wote,pengine mtoa mada yake haiwi hivyo asubuhi ?hivi unajua kwasisi wanaume asubuhi ukiamka ni lazima mashine huwa inasimama
Maamuzi ya kipuuzi yatabaki ya kipuuzi ndugu yangu,huwezi kumlaza mgeni guest ukawa umefanya uamuzi sahihi.nyie watu sijui mpoje kulaumu pasipo kuwa na maamuzi ya busara
Sema we ni mbishi... Kuna vizazi vingi sana vinaharibika kwa kuwalaza watoto na wageni, watoto wengine mpaka wanakuja kuwa mashoga kwa kuwa tayari alishaanzishiwa michezo na wageni wa kushukiaNdio kama nilivyoeleza.
Acha mipasho japokuwa sijui jinsia yako.
Hiyo ni diplomasia ndugu yangu,achana na mawazo potofu kwamba ni uoga.
Hapa hakuna aliyempangia mtu bali huu ni ushauri tunaoutoa baada ya yeye kuomba ushauri hapa jamvini.
Au alitaka ushauri upi hapa ?
Nani anabisha sasa ?
Je akilala na mama yake pia vibaya ?
Sio lazima kwa wote,pengine mtoa mada yake haiwi hivyo asubuhi ?
Kama utakuwa unalala uchi sawa ataona tu.siku moja unajisahau nini wewe mawazo ya kiasherati tu
Maamuzi ya kipuuzi yatabaki ya kipuuzi ndugu yangu,huwezi kumlaza mgeni guest ukawa umefanya uamuzi sahihi.
Kuna option nyingi sana za kufanya kuliko huo ukosaji wa uungwana alioonesha mtoa mada
Haha..!acha kutetemeka tetemeka hapo nyuma ya keyboard.Unatingisha mtandao tunashindwa kupost.😉😉😉
Huyo mkeo nae kiazi...kwanza day 1 tu alitakiwa achukue bint yake alalae.nae..anathamini kaka kuliko uzao wake..idiot....MREJESHO
Kabla ya kupiga msos niliamua kumueleza wife kuwa "uncle" naenda kumlaza lodge na siwez kumuweka rehani cute girl wangu. Wife alikubali kwa shingo upande.
Fasta nikawacheki wadau wa boda waniangalizie chumba logde za uswazi.
Wakati wa kupiga msosi nikaamua kumchana "uncle" jinsi Dunia ilipofikia na maamuz yangu kwa wakat huo. Jamaa kwanza hakuamin kama nampeleka nje kulala kwa kuwa alijua tayar kafika.
Kiufupi, kalala logde ya kawaida sana (Bei kapuni) tofauti na kitambi kinavyomuonesha.
Nashukuru sana kwa msaada wa mawazo yenu. Linda familia yako bila kujali lawama zotakazo tokea
Umeelewa hoja yangu ?Sema we ni mbishi... Kuna vizazi vingi sana vinaharibika kwa kuwalaza watoto na wageni, watoto wengine mpaka wanakuja kuwa mashoga kwa kuwa tayari alishaanzishiwa michezo na wageni wa kushukia
Huyo mgeni nae hazimtoshi tu.Umeelewa hoja yangu ?
Sijasapoti mtoto kulala na mjomba.
Nilichomuona huyu mtu kazingua ni kitendo cha kwenda kumuweka mgeni guest wakati kulikuwa na option zinginze za kistaarabu za kumfanya mgeni alale peke yake.
Ila sikulazimishi ukubali ninachosema,ila hwyo ni maoni yangu kwamba mtoa mada bado wmetumia utoto kum isolate anko wakati alikuwa na njia nyingi za kiutu uzima
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] dahh itakuwa Kaku mind Sana dadekiMREJESHO
Kabla ya kupiga msos niliamua kumueleza wife kuwa "uncle" naenda kumlaza lodge na siwez kumuweka rehani cute girl wangu. Wife alikubali kwa shingo upande.
Fasta nikawacheki wadau wa boda waniangalizie chumba logde za uswazi.
Wakati wa kupiga msosi nikaamua kumchana "uncle" jinsi Dunia ilipofikia na maamuz yangu kwa wakat huo. Jamaa kwanza hakuamin kama nampeleka nje kulala kwa kuwa alijua tayar kafika.
Kiufupi, kalala logde ya kawaida sana (Bei kapuni) tofauti na kitambi kinavyomuonesha.
Nashukuru sana kwa msaada wa mawazo yenu. Linda familia yako bila kujali lawama zotakazo tokea
Bora mkeo akalale na watoto wewe lala na huyo uncleHabari ya leo.
Miezi kama 3 iliyopita alinitembelea shemeji yangu wa kiume (miaka zaidi ya 30) na alilala chumba cha watoto. Ikumbuke Nina Binti/mtoto wa kike miaka 5, wakati huo niliongea na mama watoto kuwa next time sitaki kuweka utu wa mtoto wangu rehani kwa watu wanaojiita "uncle"
Leo tena "uncle" kaja kwa mishe zake lakn bila ya kutoa taarifa, ninvyoona jamaa atalala hapa nyumbani. Sina chumba Cha wageni zaidi ya familia yangu tu
WANDUGU:
Nafikiria kumtafutia lodge akalale kuliko kulala na Binti yangu chumba kimoja maana Dunia imewekwa rehani. Nipo sahihi au inakuwaje?
Sawa mkuu kama unaona hivyo kila mtu na maoni yake.Huyo mgeni nae hazimtoshi tu.
We mara ya kwanza unalazwa chumba kimoja na mtoto wa kike halafu uje tena siku nyingine kulala hapohapo kweli?
Mkisema mlale na dogo mgeni ataona amekabidhiwa chumba hivyo hataondoka mapema.
Hapo options ni mbili tu mgeni alazwe sebuleni au akalale guest full stop.
MREJESHO