Mawazo yangu kuhusu kilimo Tanzania

1.Serikali inampango wa kuanzia mechanisation centres kuanzia mwaka huu ambapo itanunua matrekta 10,000.

2.Serikali haiwezi Mashamba na kuendesha yenyewe,ilishashindikana kwenye habari za Mashamba ya ujamaa,nafco,nk.

Mashamba ya hivyo yanaweza anzishwa na sekta binafsi ambapo nako kikwazo ni kikubwa sana Cha itikadi za Kisiasa ndio hizo mnazosema Samia anauza Mali za Tanganyika.

Nafahamu wawekezaji kadhaa Wana Mashamba makubwa maeneo tofauti mfano Njombe Kuna Marekani ana ekari 500 za parachichi,Rukwa Kuna mzawa ana ekari 1000 nk.

Mwisho Mashamba Kwa Sasa Kwa sehemu kubwa kazi zinafanywa na mashine sio watu wenye excuses Kila siku zisizo na mashiko.

Ushauri wangu ni kwamba walegeze masharti ya kupata mikopo,pembejeo ziendelee kupatikana Kwa bei nafuu na tuwekeze kwenye utafiti.
 
Dah sisi viongozi wetu ni shida. Nakumbuka kuna kipindi Jiwe alisema anataka Tanzania iache kuagiza mazao ya chakula kutoka nje, kama watu wanavyoagiza mchele kutoka India
Sijui mpango wao uliishia wapi maana sina uhakika kama Mama Abduli anaweza kufanikisha hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…