matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Wakuu guys Mh. Aweso anajitahidi sana, Japo tatizo la maji ni kubwa ila jinsi anavyokomaa huku na kule binafsi ananifurahisha sana.
Nimekuwa nikimfuatilia katika ukurasa wake FB, Leo yuko huku kesho kule hatulii sehemu moja kuhakikisha angalau mambo ya maji yanapiga hatua.
Wote wangekuwa active hivi hii nchi ingepiga hatua Japo Kwa kuchechemea.