Katwangilo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2021
- 759
- 738
Iliniuma sana maana huwezi kuamini kisa cha kuondolewa! Na mshikaji wangu mzee wa chanjo kule Kigamboni naye akatumbuliwa.Hata Kalemani alikuwa Mpambanaji lakini Wenye nchi yao wala hawakujali,
Jamaa kana mkosi kale ka Ndugulile, saivi kamezamia jimboni, nikitoka huku Uganda nitafika huko Dar na moja kwa moja Ikuku ya zamani kufanya yangu!